Dodoma: Wanaodaiwa kuwa wapenzi wakutwa wamefariki

Polisi walivyo wehu wanaweza kumbinya pumbu huyo mwenye nyumba ili akiri kuhusika, hakuna weledi kabisa wa kazi wanategemea taarifa za umbea tu.
 
Nkmeona mahali mwenye nyumba akiongea hope ni fb, ila anavyofanana lazima atakuwa suspect
 
Swali ni
1. Mwenye nyumba alisikia peke yake mtu akiomba msaada?
2. Ndani ya nyumba hakukuwa na mtu mwingine yoyote?
3. Na kama walikuwepo mpaka mwenye nyumba anavunja mlango, mpaka anawataarifu polisi hakukuwa hata na mtu mwingine kushuhudia
Maswali yako yote yamejibiwa huko juu, kwanini hutaki kujishughulisha kusoma walichochangia wenzako? Tanzania ina WAJINGA WENGI SANA
 
Kwa kuwa mlango ulikuwa umefungwa Hapo jibu ni kuwa huyo mwanaume ndio kauwa baada ya kuuwa akapagawa akaamua nayeye kujipiga bisu la tumbo case closed
Hatuwezi kuthibitisha kuwa mlango ulikuwa umefungwa kwa ndani simply kwa kuamini maneno ya aliyeita polisi, vipi kama yeye ndiye aliyetelekeza hayo mauwaji kisha kutunga hiyo story.?

Sauti ya mtu alitoboka tumbo kiasi cha kutoka utumbo haiwezi kuwa kubwa kiasi cha kutoka kwenye chumba kilichofungwa hadi kufika aliko baba mweye nyumba unless alikuwa karibu, maana kitendo cha kuongea (kutoa sauti) kina uhusiano mkubwa sana na misuli ya tumbo.

Kama mwenye nyumba alikuwa karibu na hicho chumba, tutaangalia majira ya tukio kutokea kama yatatufanya tuamini kuwa ni kawaida yeye kuwa pale.


Wapimwe kama walikuwa wamelewa, kama walikuwa wamelewa maana yake inaongeza urahisi wa wao kufanyia ukatili na mtu mwingine mwenye nguvu (aliye sober), ambapo kura zitarudi kwa mwenye nyumba.


Kwahiyo nadhani umeona hilo tukio linaweza kutungiwa theories nyingi tu na zikaleta maana, badala ya kusema tu walijiua.


UCHUNGUZI UNAHITAJIKA.
 
Kuna issue kama hii imetoka huko space kama kuna wadau wa space haya mambo ya kutongoza kwenye mitandao dem kamliza jamaa vitu sio chin ya thaman m 4

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Polosi watamsainisha mwenye nyumba maelezo ya kukiri kosa.


Dalili zote zinaonesha ivo
 
Mwanamke amelala amekufa na mwanamume anaomba msaada lakini utumbo uko nje na hawezi kuinuka.
Mlango umefungwa kwa ndani isipokuwa mwenye nyumba anavijua vikomeo vilipo na dari halijavunjwa.Muuwaji wa wote wawili ni nani?.Au walishambuliana wenyewe kwa wenyewe?
 
Haya mambo ni magumu aisee,uishie kuyasoma tu usiombe yakukute....wapumzike kwa amani
 
Je kama dirisha lina gril mtu anapitaje? Kama nyumba haina dari alijifichaje? Ok kama kulikuwa na huyo third person aliwezaje kutekeleza hayo pasipo kushtukiwa na majirani na hizo rapsha ?
Unajaribu kusema nini? Mimi nimepinga ule msemo wa ku conclude kuwa ''kama mlango ulikuwa umefungwa basi mhusika ni kati ya hao wawili.'' Nikajaribu kupanua scenario zinazoweza kuwa zilikuwepo kwa kuuliza maswali. Sikufanya conclusion yoyote kwani bila kufanya uchunguzi huwezi kuwa certain! Unajachojaribu kubisha hapa ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…