Pre GE2025 Dodoma: Wapiga Kura wakiwa na Vipeperushi vya mwenyekiti wa CCM Wakati wa Kujiandikisha

Pre GE2025 Dodoma: Wapiga Kura wakiwa na Vipeperushi vya mwenyekiti wa CCM Wakati wa Kujiandikisha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huo uchaguzi unahusu wakazi wa mtaa au kijiji

Hata mgeni raia wa nje ruksa kupiga kura mradi mkazi wa huo mtaa au kijiji
Anayechaguliwa ni kiongozi wa mtaa
Yakhe karibu Sheia yetu tumchague mwakilishi pasipo tatizo.
 
IMG_3912.jpeg
 
Amuone ili kitokee nini?
Ila Afrika kwenye kulinda viongozi tunajifanya tuko vizuri. Mbele mdudu nyuma mdudu Rais kasimama kati.
 
Nyuma yake kuna mlinzi mmoja na anafuata samia na mlinzi mwingine anafuata raia na mlinzi mwingine tena. Pengine hata ninaosema ni walinzi ni raia.
 
Ila kikinuka hakuna ulizi hapo ....trump assassination attempt walizi wengi walikuwa madem....trust me HAKUNA MWANAMKE KOMANDO...
 
Ndio, nyie endeleeni kuandamana tu, mkimaliza uchaguzi huu hapa, mnaanza kulia matokeo
Uchaguzi gani? Bongo hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Kama huamini nenda kaangalie. Idadi ndogo ya watu waliojotokeza kujiandikisha. Watu wameshastukia huo upuuzi uitwao uchaguzi.
 
Uchaguzi gani? Bongo hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Kama huamini nenda kaangalie. Idadi ndogo ya watu waliojotokeza kujiandikisha. Watu wameshastukia huo upuuzi uitwao uchaguzi.
Hao Hao ndio watachagua
 
Zoezi la kujiandikisha katika Daftari la Mpiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 mwaka huu limeanza leo Oktoba 11, 2024 nchini nzima na litaendelea hadi Oktoba 20, 2024.

Rais Samia na yeye ametimiza haki yake ya Kikatiba, hapa akiwa kwenye foleni na wakazi wa Kijiji cha Chamwino mkoani Dodoma katika zoezi la kujiandikisha lakini baadhi ya Wapiga kura wameenda kujiandikisha wakiwa wameshikishwa vipeperushi vya mwenyekiti wa CCM.

Tujiulize. Je, ni sawa Wananchi kujiandikisha kupiga kura katika uchaguzi wa Serikali za mitaa wakiwa wameshikishwa vipeperushi vya mwenyekiti wa CCM?

Soma, Pia:
+
Rais Samia Kuzindua Rasmi Zoezi la Kuandikisha Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa Oktoba 11, 2024
+ Tofauti ya Daftari la Kudumu la Wapigakura na Daftari la Wapigakura wa Serikali za Mitaa
hata wangekua na vipeperushi vya mwenyekiti wa CUF au chadema, haina shida wala athari zozote kwenye zoezi hilo, kwasbabu hapakua na kampeni na wala huyo anaeonekana kwenye hivyo vipeperushi si mgombea wa nafasi yoyote kwenye serikali za mitaa :pulpTRAVOLTA:

infact,
wananchi wameshikilia vipeperushi vya kiongozi, mkuu wa nchi, Rais na kipenzi cha waTanzania wote Dr.Samia Suluhu Hassan:pedroP:
 
Back
Top Bottom