Dodoma watengenezewe beach artificial

Wakati ule mzee wa Ubwabwa (Hashimu Rungwe) aliposema atahakikisha Dodoma kirahisi kabisa mnakuwa na beach (atapeleka bahari) wengi walimchukua poa na kumdhihaki kumbe mwamba alikuwa na exposure kubwa na alijua alichokuwa anakisema.

Sasa tukamkataa mzee wa watu, ambaye alijipanga tuwe tunapiga ubwabwa wa uhakika tukawachagua hawa mbuzi wa kijani wakauza bandari mpaka mbuga na kisha kuzurura tu duniani kukopa kukopa.
 
Nikuthubutu kupata mwekezaji inawezekana mfano makambako walikuwa na eneo oevu kubwa baadhi ya watu wametumia fursa ku create beach na zinawaingizia pesa mfano mojawapo wa hizo beach ni hii Ina ekari kumi
 

Attachments

  • 1721524087976.jpg
    149.5 KB · Views: 4
Tatizo watani zangu wagogo ndio watafanya kwa kushinda hapo. Bora walete Bariadi hilo fukwe. 😁
 
Badala ya kumalizia Bwawa umeme ushuke bei au kufanya gharama ya Train mwendokasi kuwa sawa na daladala watu waweze kuishi Morogoro na kufanya kazi Dar, Pesa / Kodi zetu tuweke kwenye hizi risky luxurious investments ?!!!!

Kama wewe unaona huo mradi unalipa basi kusanya wadau wako nendeni mkafanye tena mfanye kwa nunua ardhi na sio kupewa bure kwa mgongo wa uwekezaji alafu kesho na keshokutwa mnauziana mradi kwa bei za hasara...
 

Si ukafanye wewe mradi huo, unangoja nini?

Afrika Kusini ni mradi binafsi huo.
 
Wazo zuri kwani tutapata sehemu ya kujisaidia saa za jioni na alfajiri.
 
Serikali ijenge Beach, akili za kijinga hizi
 
Hii nchi viongozi wakifa kaburini ni adhabu tuuu hawana hata unafuu mda wote
 
Hii nchi viongozi wakifa kaburini ni adhabu tuuu hawana hata unafuu mda wote
Na iwe hivyo wao wanatafuta viungo vya albino tu
Na wao wakizikwa kaburi linamwagiwa zege
Wanajua nao viungo vitabebwa
Ila wataungua milele tuseme Emiin
 
Mkuu kwahiyo watu wa Dodoma hua unawaelewa hao,mbona kama hamnazo kabisa hao
 
Serikali gani hiyo🤔 hii serikali ya ccm ambayo kwa 60+ bado matundu ya vyoo mashuleni na madawati ni kitendawili ambacho jibu lake linatafutwa 🤔
Wanajifanya kununua magari ya kifahari wakati wanaowaongoza ni garagaja watupu
 
Wanataka kuchimba madini Serengeti,huyu bibi msipomzuia ataacha mashimo kila Kona,hivi Gen Z wameshindwa kabisa kuwatowa Hawa kijani kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…