kizaizai
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 5,651
- 6,966
Mtera ni mto umezuiwa ku flow umegeuka Bwawa.Mbona Bwawa la Mtera halijawahi kukauka😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtera ni mto umezuiwa ku flow umegeuka Bwawa.Mbona Bwawa la Mtera halijawahi kukauka😀😀
Wakati ule mzee wa Ubwabwa (Hashimu Rungwe) aliposema atahakikisha Dodoma kirahisi kabisa mnakuwa na beach (atapeleka bahari) wengi walimchukua poa na kumdhihaki kumbe mwamba alikuwa na exposure kubwa na alijua alichokuwa anakisema.Kuna huu Ufukwe mkubwa zaidi barani Afrika wa 'Man-made unaitwa Munyaka Estate crystal lagoon umefunguliwa Johannesburg, ni mkubwa mara 7 ya uwanja wa mpira na ni ufukwe wa 3 wa Afrika Kusini uliotengenezwa na binadamu.
Nina wazo tu serikali kwa kushirikiana na sekta binafsi waunde huo mradi ili kuongeza ajira na uwekezaji hapo Dodoma..inawezekana kabisa maendeleo hayo.
View attachment 3040826View attachment 3040827
😆😆ahaaa vp mabwawa kama Bahi,Farkwa,Kisaki-Kondoa,Nondwa,Dabalo,Hombolo n.kMtera ni mto umezuiwa ku flow umegeuka Bwawa.
Naunga mkono hoja, serikali iwe na jukumu la kuleta upepo unaovuma kwenye beachesWazo zuri lakini ujengwe na sekta binafsi, siyo serikali
Kuna huu Ufukwe mkubwa zaidi barani Afrika wa 'Man-made unaitwa Munyaka Estate crystal lagoon umefunguliwa Johannesburg, ni mkubwa mara 7 ya uwanja wa mpira na ni ufukwe wa 3 wa Afrika Kusini uliotengenezwa na binadamu.
Nina wazo tu serikali kwa kushirikiana na sekta binafsi waunde huo mradi ili kuongeza ajira na uwekezaji hapo Dodoma..inawezekana kabisa maendeleo hayo.
Wazo zuri kwani tutapata sehemu ya kujisaidia saa za jioni na alfajiri.Kuna huu Ufukwe mkubwa zaidi barani Afrika wa 'Man-made unaitwa Munyaka Estate crystal lagoon umefunguliwa Johannesburg, ni mkubwa mara 7 ya uwanja wa mpira na ni ufukwe wa 3 wa Afrika Kusini uliotengenezwa na binadamu.
Nina wazo tu serikali kwa kushirikiana na sekta binafsi waunde huo mradi ili kuongeza ajira na uwekezaji hapo Dodoma..inawezekana kabisa maendeleo hayo.
View attachment 3040826View attachment 3040827
Serikali ijenge Beach, akili za kijinga hiziKuna huu Ufukwe mkubwa zaidi barani Afrika wa 'Man-made unaitwa Munyaka Estate crystal lagoon umefunguliwa Johannesburg, ni mkubwa mara 7 ya uwanja wa mpira na ni ufukwe wa 3 wa Afrika Kusini uliotengenezwa na binadamu.
Nina wazo tu serikali kwa kushirikiana na sekta binafsi waunde huo mradi ili kuongeza ajira na uwekezaji hapo Dodoma..inawezekana kabisa maendeleo hayo.
View attachment 3040826View attachment 3040827
Hii nchi viongozi wakifa kaburini ni adhabu tuuu hawana hata unafuu mda woteFursa mlizonazo kuna nchi duniani hawana hata moja zaidi ya ardhi tu bila maji
Nyie mna Mito hamjui ina faida gani kwenu, mna maziwa ambayo vvyanzo vya vipato hata hamuwezi kulisha watoto 1000
Bahari hiyo na bandari
Ni wazo zuri ila sio kwa sisi tusiojua maana ya maji na faida zake
Thailand wana floating market nimeiona watu wanafanya biashara za mboga na matunda kwenye mto
Nyie mito sijui hata kama itakuja kuwapa faida
Na iwe hivyo wao wanatafuta viungo vya albino tuHii nchi viongozi wakifa kaburini ni adhabu tuuu hawana hata unafuu mda wote
Mkuu kwahiyo watu wa Dodoma hua unawaelewa hao,mbona kama hamnazo kabisa haoKuna huu Ufukwe mkubwa zaidi barani Afrika wa 'Man-made unaitwa Munyaka Estate crystal lagoon umefunguliwa Johannesburg, ni mkubwa mara 7 ya uwanja wa mpira na ni ufukwe wa 3 wa Afrika Kusini uliotengenezwa na binadamu.
Nina wazo tu serikali kwa kushirikiana na sekta binafsi waunde huo mradi ili kuongeza ajira na uwekezaji hapo Dodoma..inawezekana kabisa maendeleo hayo.
View attachment 3040826View attachment 3040827
Wanajifanya kununua magari ya kifahari wakati wanaowaongoza ni garagaja watupuSerikali gani hiyo🤔 hii serikali ya ccm ambayo kwa 60+ bado matundu ya vyoo mashuleni na madawati ni kitendawili ambacho jibu lake linatafutwa 🤔
Wanataka kuchimba madini Serengeti,huyu bibi msipomzuia ataacha mashimo kila Kona,hivi Gen Z wameshindwa kabisa kuwatowa Hawa kijani kabisaWakati ule mzee wa Ubwabwa (Hashimu Rungwe) aliposema atahakikisha Dodoma kirahisi kabisa mnakuwa na beach (atapeleka bahari) wengi walimchukua poa na kumdhihaki kumbe mwamba alikuwa na exposure kubwa na alijua alichokuwa anakisema.
Sasa tukamkataa mzee wa watu, ambaye alijipanga tuwe tunapiga ubwabwa wa uhakika tukawachagua hawa mbuzi wa kijani wakauza bandari mpaka mbuga na kisha kuzurura tu duniani kukopa kukopa.
Hee hivi Dodoma hakuna wauza pwezaWafugwe na pweza humo, tumewachoka kila wik end kurudi Dar kuja kunywa supu ya pweza.
kama kukauka! lingekauka bwawa la homboro.. maana lile bwawa ni lakutengenezwa sio natural... na ni bwawa la miaka mingi sana, karne na karne na halijawahi kukauka.....Kwa jua na ukame wa dodoma litakauka na litajaa vumbi