Dodoma: Watu 5 wa Familia moja wauawa

Watu waelimishwe tu, hamna cha maombi hapo, kitafutwe chanzo cha mauaji, tatizo mnachagua aina ya ukatili na watu wanaofanyiwa, mf. Ukatili unasemwa dhidi ya wanasiasa hamkemei wala hamna maombi, kumbe ndio mnapanda mbegu ya chuki na ukatili!
Hauna akili za rohoni, unatumia kichwa tu.
 
Mkuu hatuna mtu hapa na haya ndiyo matokeo ya kuweka mtu kwa majaribio, ila mwenyewe anavyojikubali na kujiona anapiga kazi ya ukweli huwa naishia kucheka tu
Mkuu jambo jema sana ni kwamba nchi ikimshinda mtu dalili zake huwa ni kama mimba,huwezi ficha.

Nakumbuka Zimbambwe walipigwa na hali mbaya ya kiuchumi hadi kipindupindu kikatawala.

Inflation ambayo imeanza kuonekana Tanzania ni dalili za mwanzo kabisa za nchi kumshinda mtu.The worst is yet to come.
 
Mbona hiyo picha haina uhusiano na habari hiyo? imetumika mwaka 2016 hapa chini
 


Na kundi kubwa la wajasiriamali kupitia Imani hawaongelei kabisa maadili, bali wapeleke shida zao wawaombee ili wasumbukao na madeni (bank, kodi, n.k), mdororo wa uchumi, n.k wapte uponyaji kimuujiza.
 
Hili jambo litakuwa limefanywa kwa ushirikiano na watu wa hapa hawezi kuja mtu kutoka huko kwenye nyumba ya mtu akaua watu watano asiwe na mwenyeji hapa,”amesema. Hapa Mtaka kachemka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…