pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Ngoja kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama jamani ndio wadhulumiwe nafsi kiasi hicho. Wengine tumesalitiwa kuumizwa na kudhulumiwa vibaya lakini kiasi kwamba tulikuwa na haki ya kulipiza ila tunakuaga, potezea na kuumia kimya kimya hivyo hivyo.
Nyie si mna mioyo dhaifuH
Hata kama jamani ndio wadhulumiwe nafsi kiasi hicho. Wengine tumesalitiwa kuumizwa na kudhulumiwa vibaya lakini kiasi kwamba tulikuwa na haki ya kulipiza ila tunakuaga, potezea na kuumia kimya kimya hivyo hivyo.
Wakamatwe mara moja nawashughulikiwe kwa kunyongwa hadi kufa.
Tunamuachia Mungu ogopa iyo kauli. Mimi naondoaga stress zangu za kusalitiwa na kudhulumiwa humu Jamvini kwa kuwin members kisaikolojia basi huwa moyo utulia kweli member mnyonge anaponitukana baada ya kumuwin kisaikolojia.
How do u win members psychologically ?Tunamuachia Mungu ogopa iyo kauli. Mimi naondoaga stress zangu za kusalitiwa na kudhulumiwa humu Jamvini kwa kuwin members kisaikolojia basi huwa moyo utulia kweli member mnyonge anaponitukana baada ya kumuwin kisaikolojia. Inanisaidiaga Sana nafsi. Ila siku hizi members wengi wamenijua wananipotezea basi naumia kichiz. Unakuta siku hizi wiki inaweza kupita sijamuwin mtu kisaikolojia basi nasaka na kusaka. NDIO njia pekee ya stress relief
Hicho kisasi kimepitiliza yaani unaondoa familia nzima aisee sio mchezoInawezekana ni mtu anaewajua au member wa familia sana sana
Tusubiri majibu naona ni kisasi
Yani uchokozi tu. Unakuta mada imeletwa ya mgao wa umeme. Mimi na comment, watanzania tunapenda na kuendekeza anasa sana. Kwani hatuwez kuishi bila umeme? Mbona mababu zetu walitumia kuni na mbalamwez na wakiishi vizuri tu na furaha.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Yani uchokozi tu. Unakuta mada imeletwa ya mgao wa umeme. Mimi na comment, watanzania tunapenda na kuendekeza anasa sana. Kwani hatuwez kuishi bila umeme. Mbona mababu zetu walitumia kuni na mbalamwez na wakiishi vizuri tu na furaha.
Basi kuna mnyonge atapitia iyo comment na kumind na kuanza kuniporomoshea matusi. Basi hapo nafurahi kichiz tayari nimeshamuwi n kisaikolojia.kuna wengine wanakereka wananifuataga hadi PM poromosha matusi ya laana.
YUKO WASAFI!!Chui dume yu wapi??!!
Hicho kisasi kimepitiliza yaani unaondoa familia nzima aisee sio mchezo
Yani uchokozi tu. Unakuta mada imeletwa ya mgao wa umeme. Mimi na comment, watanzania tunapenda na kuendekeza anasa sana. Kwani hatuwez kuishi bila umeme? Mbona mababu zetu walitumia kuni na mbalamwez na wakiishi vizuri tu na furaha.
Basi kuna mnyonge atapitia iyo comment na kumind na kuanza kuniporomoshea matusi. Basi hapo nafurahi kichiz tayari nimeshamuwi n kisaikolojia.kuna wengine wanakereka wananifuataga hadi PM poromosha matusi ya laana.
Roho mbaya inajengwaKuna watu wana roho mbaya sana dunia hii
Huwa nafuatilia sana crimes zinazotokea duniani na utashangaa na kupata mshtuko jinsi binadamu walivyo na roho za kinyama
Ndugu au mtoto kuuwa wazazi yapo sana
Au dhuluma, Tamaa pia zinasababisha haya
Wafuasi wa Chui jike mkoje lakini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa hunipati sasa nimekujua [emoji12][emoji12]
Nadhani na hata kukosa mafunzo sahihi ya kiimani na dini pia huchangia kuwa na roho sizizo na hurumaKuna watu wana roho mbaya sana dunia hii
Huwa nafuatilia sana crimes zinazotokea duniani na utashangaa na kupata mshtuko jinsi binadamu walivyo na roho za kinyama
Ndugu au mtoto kuuwa wazazi yapo sana
Au dhuluma, Tamaa pia zinasababisha haya
Nadhani na hata kukosa mafunzo sahihi ya kiimani na dini pia huchangia kuwa na roho sizizo na huruma
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahaha na wewe umo kwenye kamati ya roho mbaya