Dodoma: Watu 5 wa Familia moja wauawa

Dodoma: Watu 5 wa Familia moja wauawa

Hili nalo neno
Dini imenifundisha mengi sana kiasi ambacho siwezi kuwa na hasira hata siku moja na kusema huyu kaniudhi acha nibebe panga nikamuuwe Never

Hapo dini inachangia kitu kikubwa sana
Malezi pia kwa kufuata wazazi jinsi walivyotukuza kwa upendo
Naamini ukatili ni kutokuwa na mafunzo ya kiimani zaidi
Kwani Boko Haram hawana mafunzo ya kiimani?
 
Maovu yameletwa na viongozi wa nchi wanaoamini katika wizi, uporaji na kupuuza sheria.

Kama kiongozi anapata mamlaka kwa kuiba kura na hakuna namna ya kumtoa. Kama polisi inachukuliwa kama kikundi cha wahalifu. Kama matapeli, wezi na mafisadi ndiyo wanaosifiwa kuwa wajanja. Kama ukitapeliwa huna pa kwenda na ukienda kwenye sheria ndiyo utatapeliwa na hao uliowapelekea kesi. Kama makanisa yanageuzwa vijiwe vya kuendeshea utapeli na uhalifu. Nk. Hapo lazima watu wamalizane wenyewe kwa wenyewe.

Kama mifumo ya upatikanaji haki ingekuwa inaheshimiwa katika ngazi zote, haya mambo yasingesikika.

Lakini baba wa matatizo yote ya nchi hii anafahamika. Na yampasa atokomezwe mapema.
Kwa nini comment kama hii tusii'rank' na kupa hadhi ya kuwa comment bora ya mwaka na kuwa ni ya kufungia thread hii?
 
Inawezekana chanzo kikawa mgogoro wa kifamilia,mambo ya mali etc
Ila ngoja tuwasubirie polisi wamalize uchunguzi
Wao

Ova
 
Back
Top Bottom