King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Inasikitisha Sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matambiko ya machief yanahitaji damu imwagike.Mbona mauaji na kupotea kwa watu kumeongezeka kwa kasi sana siku hizi au ndio biashara ya viungo vya watu imepamba moto
Kwani Boko Haram hawana mafunzo ya kiimani?Hili nalo neno
Dini imenifundisha mengi sana kiasi ambacho siwezi kuwa na hasira hata siku moja na kusema huyu kaniudhi acha nibebe panga nikamuuwe Never
Hapo dini inachangia kitu kikubwa sana
Malezi pia kwa kufuata wazazi jinsi walivyotukuza kwa upendo
Naamini ukatili ni kutokuwa na mafunzo ya kiimani zaidi
Kuuwa familia yote ni kitendo Cha kigaidi.CCM itatumaliza aisee.
Kwa nini comment kama hii tusii'rank' na kupa hadhi ya kuwa comment bora ya mwaka na kuwa ni ya kufungia thread hii?Maovu yameletwa na viongozi wa nchi wanaoamini katika wizi, uporaji na kupuuza sheria.
Kama kiongozi anapata mamlaka kwa kuiba kura na hakuna namna ya kumtoa. Kama polisi inachukuliwa kama kikundi cha wahalifu. Kama matapeli, wezi na mafisadi ndiyo wanaosifiwa kuwa wajanja. Kama ukitapeliwa huna pa kwenda na ukienda kwenye sheria ndiyo utatapeliwa na hao uliowapelekea kesi. Kama makanisa yanageuzwa vijiwe vya kuendeshea utapeli na uhalifu. Nk. Hapo lazima watu wamalizane wenyewe kwa wenyewe.
Kama mifumo ya upatikanaji haki ingekuwa inaheshimiwa katika ngazi zote, haya mambo yasingesikika.
Lakini baba wa matatizo yote ya nchi hii anafahamika. Na yampasa atokomezwe mapema.
Tena?baba wa matatizo
Kuuwa familia yote ni kitendo Cha kigaidi.