A
Anonymous
Guest
Habari Jamii forum naomba utupazie kero yetu wahusika wangazi za juu watusaidie
Watumishi wanawake wa Hospital ya Mji kondoa katika Wilaya ya Kondoa -Dodoma tunakero kubwa wanawake ambao tukipata ujauzito hua baadhi yetu tunakua na changamoto za kiafya kutokana na mimba tulizo nazo ambapo inatulazimu kupata bedrest ya muda mrefu, kikwazo kikubwa Mganga mfawidhi wa Hospital hiyo huwa hataki kutupa Bedrest na kututamkia maneno machafu na ya kejeli hali inayo pelekea kudhofika kwa afya za ujauzito wetu na hupelekea mimba kibaribika.
Mfano mwaka Jana watumishi wawili wamepoteza mimba zao kwa kunyimwa Bedrest hata tukienda kwa Afisa utumishi kulalamika tuna ambiwa Nendeni kwa Mganga mfawidhi yeye ndio Daktari atushauri, sisi hatuwezi kutoa maamuzi, hata Madaktari wengine wakitupa Bedrest yeye anasema haitambui.
Mimi juzi tu nimepata changamoto namuambia naumwa anasema vua nguo za ndani nione unapoumwa.
Tunaomba utusaidie kupaza sauti wafanya kazi wakike tunapopata mimba tunanyanyasika kupitia Kwa Mganga mfawidhi.