Dodoma: Waziri Mkuu aagiza Mwanajeshi, maarufu kama HK akamatwe kwa udhalilishaji


Wewe unayetetea habari za wananchi kutoa malalamiko yao ya kuibiana simu na TV, kupigana, kwa viongozi wa taifa hujui hata hesabu kuna wananchi wangapi, malalamiko mangapi kama hayo, na viongozi wa kitaifa wangapi. Utakubali mpaka kesi ya mtu kuibiwa kuku imsubiri rais na waziri mkuu, wakati kuna polisi na mahakama.

Halafu huelewi kwamba, jambo kuwa la kawaida haimaanishi ni zuri. Jambo linaweza kuwa ni baya na la kawaida, watu wamelizoea. Kulizoea hakufanyi lisiwe baya.

Serikali itasemwa vibaya tu, hiyo ni haki ya watu ya kikatiba. Ukinilalamikia kwa kuisema serikali vibaya, unanionesha huna elimu ya uraia na hujui haki za kikatiba ni zipi.

Zaidi, umeshindwa kujibu hoja, unanishambulia mimi mtoa hoja kwa ad hominem attacks, hii ni ishara ya mtu asiye na hoja.
 
“Alikuja nyumbani kupekua vitu vya nyumbani kwangu zikiwamo nguo za ndani za mke wangu kwa kuziinua huku akizinyanyapaa,

[emoji1787]
 
Kaletewa malaliko tena wazi ulitaka afanyeje? polisi kumkamata mjeda ni ngumu sana
 
Kaletewa malaliko tena wazi ulitaka afanyeje? polisi kumkamata mjeda ni ngumu sana
Mpaka Waziri Mkuu kuletewa malalamiko haya ndiyo tayari nchi ishakuwa failing state, kwa sababu kuna ngazi kibao chini yake zinaonekana zimeshindwa kushughuikia hili.

Sasa mnapoangalia hili kwa sababu limeletwa kwa Waziri Mkuu na limepata coverage, mnashindwa kujiuliza haya yapo mangapi kila siku ambayo hayamfikii Waziri Mkuu kwa sababu tunaye mmoja tu na kesi kama hizi zipo maelfu na maelfu?

Tunakuwaje nchi ya kutegemea Waziri Mkuu atatue kesi za polisi, jeshi na mahakama?
 
Hakika, ila vilaza wanashangilia sana hili kila kona ya nchi!
 
Unaelewa wakuu wa mikoa, wilaya, mtendaji wa kata na mwenyekiti wa kijiji/mtaa wamewekwa kwa sababu zipi??
 
We wanajeshi unawajua vizuli?
Nikisema nawajua au siwajui itakusaidia nini?

Mimi siongozwi na mhemko na chuki dhidi ya kundi fulani katika jamii.

Ila jua tuhuma ni tuhuma tu kama hakuna ushahidi usio na shaka, tukiruhusu hili ni hatari kwa mustakabari wa Taifa letu.

Kesho wewe 25000q utasema IFAC kisa Mhasibu wa Shirika X kaja kunivamia nyumbani kwangu na kubagua kuku wangu.
Ndio itoke hukumu tu? Kisa mnyonge 25000q kasema kwa kiongozi Fulani wa kisiasa?
Ndio nchi inavyopaswa kuendeshwa?
Ndio huo utawala wa kisheria inavyopaswa kuwa?
 
Uanajeshi wa kizamani na kutaka madeal na maraia ndio inkuwaga hivi .

USSR
Jambo usilo lijua ni sawa na usiku wa kiza, usije toa hukumu kwa kusikiliza upande mmoja.
Nasakia KIUHALISIA mambo hayako hivyo kama alivyo sema. Kama ni kweli utaona kwenye TV na mitandaoni kesi ikiendelea.
Hata kama una watoto hapo kwako au ndugu wapo chini yako usije jaribu tena narudia usije jaribu kutoa huku kwa kusikiliza upande mmoja tu.
 
Makosa yanarudiwa tena hivi kweli kero zote zinapelekwa Kwa MH.PM !! Inamaana Ngazi zote hazina uwezo wa kutatua tatizo hilo!!? Twafwaaa
 
Wewe ni mpumbavu sana sasa ukitaka afanyaje
 
Kipindi cha MAGUFULI mbona watu wengi tu walikuwa wanamlilia Magu awasaidie haikuwa failed State?
 
Kuna tofauti kati ya kazi na shughuli. Bwana majaliwa anafanya shughuli siyo kazi.
 
Pumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…