Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mujibu wa nani? Wapi nilisema hivyo?Kipindi cha MAGUFULI mbona watu wengi tu walikuwa wanamlilia Magu awasaidie haikuwa failed State?
Unaweza kukuta ni kwel dogo anakula mke wa mjedaHizo ni tuhuma tu, hakuna ushahidi kama huyo askari wa jeshi kafanya hivyo.
Bora wewe umesema.Kuna tofauti kati ya kazi na shughuli. Bwana majaliwa anafanya shughuli siyo kazi.
Jiongeze hapo aongelewi KIBAKA wa mtaaniHii habari ni ishara ya a failing state.
Ukishaona kiongozi wa kitaifa anaingilia kazi za polisi na mahakama, kesi za nani kaiba simu na TV ya nani, huyu kampiga yule, ujue this is a failing state. Maybe not quite a failed state, but a failing state.
Yani hata huyo Waziri Mkuu hajui kazi yake ni nini.
Jiongeze hapo aongelewi KIBAKA wa mtaani
Anaongelea MWANAJESHI ambaye analitia DOA jeshi zima kwa kukosa NIDHAMU ya kijeshi
Waziri mkuu alichojaribu ni kutaka JESHI limchukulie hatua za kinidhamu iwe FUNDISHO kwa wanajeshi wengine wenye TABIA kama hizo
Najua utataka kuiusisha MAREKANI CHINA na MATAIFA mengine kwa kusema huwezi kukuta mambo kama hayo KIONGOZI mkubwa wa nchi kuongelea jambo kama hilo hadhalani kuhusu MWANAJESHI
ni sawa ndio huwezi kukuta
Ila hii ni TANZANIA tuna namna na njia zetu za kuishi kufikisha ambazo ni kama DESTURI ambapo hata ipite MIAKA 100 mbele ndio tupo HIVYO tulivyo
Ndio mana unaiona hii AMANI tuliyo nayo TUNU kubwa mno
Sawa sawaKesi ya huyo mwanajeshi ilikuwa ya kushughulikiwa na kituo kidogo cha polisi na mwenyekiti wa kijiji/mtaa.
Basi ondoeni nafasi zote za uongozi na mahakama wabaki Rais na waziri mkuu tu wawe wanasikiliza kero zenu direct.Sawa sawa
Basi ndugu yangu sisi tunajivunia TANZANIA yetu
Na namna Viongozi wetu wanavyosikiliza kero zetu DIRECT na kutupatia MAJIBI chanya papohapo
Na tulijivunia sana MAGUFURI mana yeye alikuwa mpk anatoa alichonacho kusaidia
Kabla ya MAGUFURI hata kikwete alikuwa anasikiliza kero zetu DIRECT mara chachechache
Hvyo kama hujapenda WAZIRI MKUU alivyoagize awajibishwe huyo MWANAJESHI mjingamjinga anayelitia doa JESHI letu imara
Nenda uhamie SUDAN
Kwahiyo hujawahi kuona ubabe wa hawa migambo wanaovuta bange[emoji15]Hizo ni tuhuma tu, hakuna ushahidi kama huyo askari wa jeshi kafanya hivyo.
Hilo jina tu HK ni ishala kwamba ni mshamba na katokea kwenye umaskini na ufukara kupata kazi ya jeshi.Waziri Mkuu alitoa agizo hilo jana alipokuwa akizungumza na wananchi wa Nzuguni katika maadhimisho ya miradi iliyozinduliwa katika kilele cha sherehe za miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, kikiwamo kituo cha Zimamoto na Uokoaji.
Kijana huyo alitoa tuhuma hizo, baada ya Waziri Mkuu kutoa nafasi kwa wananchi kuzungumza kero zinazowakabili ili waweze kupata msaada.
Alipopata nafasi hiyo, alidai mwanajeshi huyo aliyemtaja kwa jina maarufu la HK, kunyanyasa vijana wa eneo hilo na yeye akiwamo kwa kuchukuliwa TV yake kwa madai kuwa kuna mtu amemuambia kuwa amemuona na simu ya mke wake.
“Alikuja nyumbani kupekua vitu vya nyumbani kwangu zikiwamo nguo za ndani za mke wangu kwa kuziinua huku akizinyanyapaa, alipokosa simu aliamua kubeba TV na kuondoka nayo na jana amenipigia simu kuniambia kuwa kero yangu hata nikipeleka kwa Rais Samia haitatatulika…naomba Waziri Mkuu nisaidiwe afuatiliwe,” alilalamika.
Waziri Mkuu alimuagiza Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Martin Otieno, kumsaidia kijana huyo na kumtafuta mwanajeshi huyo ili akamatwe.
“Pia nitazungumza na CDF (Mkuu wa Majeshi) kama anavyoeleza kijana huyu kama ndivyo kamanda yeyote wa jeshi lolote hapaswi kuwafanya hivyo Watanzania, jeshi lipo kwa ajili ya kuwalinda wao, maisha yao, vifaa vyao na mali zao zinakuwa salama sio kwenda kuchukua mali zao,” alionya.
“Huyo kijana apatikane na kama atakataa tutapata taarifa zake kwenye kikosi alipo na tutamtafuta CDF atatupa mawasiliano ili tujue kwanini amechukua TV ya huyu kijana. Huyu kijana apewe ushirikiano anaweza kupata matatizo na huyo kamanda akisikia ametamkwa hadharani, huyu kijana alindwe asipate madhara.”
Alisema taarifa ya kijana hiyo ichukuliwe kama taarifa kamili na ifanyiwe kazi ili apate haki yake ya msingi.
Chanzo: Nipashe
Jeshi lina ngazi zake za court martial, polisi wapo anaweza kuhukumiwa kiraia ikibidi, yani bado issue haijafika ngazi ya kuwa ya Waziri Mkuu, ni basi tu Bongo mifumo haifanyi kazi, ndiyo definition ya failing state ninayoisema mimi hiyo.Jiongeze hapo aongelewi KIBAKA wa mtaani
Anaongelea MWANAJESHI ambaye analitia DOA jeshi zima kwa kukosa NIDHAMU ya kijeshi
Waziri mkuu alichojaribu ni kutaka JESHI limchukulie hatua za kinidhamu iwe FUNDISHO kwa wanajeshi wengine wenye TABIA kama hizo
Najua utataka kuiusisha MAREKANI CHINA na MATAIFA mengine kwa kusema huwezi kukuta mambo kama hayo KIONGOZI mkubwa wa nchi kuongelea jambo kama hilo hadhalani kuhusu MWANAJESHI au hayo mambo sijui wizi nk
ni sawa ndio huwezi kukuta
Ila hii ni TANZANIA tuna namna na njia zetu za kuishi kufikisha ambazo ni kama DESTURI ambapo hata ipite MIAKA 100 mbele ndio tupo HIVYO tulivyo
Ndio mana unaiona hii AMANI tuliyo nayo TUNU kubwa mno
Tukiachana na hilo mana huna hoja 7bu WAZIRI mkuu ameagiza akamatwe SHERIA ichukue mkondo wake ajamuhukumu na wala hajasema afukuzwe kazi au ahukumiwe kifungo ameagiza akamatwe na mwenye TV yake arudishiwe na akome KUSHIKASHIKA CHUPI ZA WAKE ZA WATU 7BU ANALIDHALILISHA JESHIJeshi lina ngazi zake za court martial, polisi wapo anaweza kuhukumiwa kiraia ikibidi, yani bado issue haijafika ngazi ya kuwa ya Waziri Mkuu, ni basi tu Bongo mifumo haifanyi kazi, ndiyo definition ya failing state ninayoisema mimi hiyo.
Tanzania mna namna hiyo ya kuishi ambayo wewe unaonekana kuikubali kwa sababu ni failing state, na wewe unachangia hali kuendelea kuwa hivyo, kwa sababu unaonekana kuikubali, hata kifikra tu.
Tanzania sehemu nyingi hakuna amani, kuna ukosefu wa fujo tu, usivichanganye vitu hivi viwili.
Unaachana na lipi?Tukiachana na hilo mana huna hoja 7bu WAZIRI mkuu ameagiza akamatwe SHERIA ichukue mkondo wake ajamuhukumu na wala hajasema afukuzwe kazi au ahukumiwe kifungo ameagiza akamatwe na mwenye TV yake arudishiwe na akome KUSHIKASHIKA CHUPI ZA WAKE ZA WATU 7BU ANALIDHALILISHA JESHI
Sasa Nitajie sehemu moja tu ambayo hakuna AMANI kwenye mapigano fujo mauaji ambapo watu wanapakimbia achana na hizo nyingi ulizosema nitajie tu sehemu moja
Huo ustaarabu unaozungumzia wewe haukuja kwa miaka 50Unaachana na lipi?
Nchi inahitaji Waziri Mkuu aseme ili sheria ifuate mkondo wake?
Bila Waziri Mkuu kusema sheria haifuati mkondo wake?
Huoni mpaka hapo ushawekea nguvu point yangu kwamba Tanzania is a failing state?
Huo ustaarabu unaozungumzia wewe haukuja kwa miaka 50
Ilichukua miaka mingi mno
Nawaonaga maWEHU kujilinganisha na mataifa yalioanza kuutafata USTARAABU zaidi ya miaka 1000 iliyopita hata ukiilinganishia CHINA MALAYSIA sijui SINGAPORE kuwa mwaka gani sijui tulikuwa sawa kiuchumi hatuwezi lingana nao hao walioanza kuyahifadhi maandishi kumbukumbu tangu miaka ya 1000 huko
Wewe uliyechini ya jua hata miongo mitano hujaifikia na kuipita
kwa kuwa upe eneo ambalo umeigizia tabia na tamaduni za huko unataka kulifananisha na tanzania
Hii ndo TANZANIA na ipo hivyo ilipotoka ilipo na inapokwenda ni TOFAUTI acha kukalili MAISHA na kulazimisha TAMADUNI ambazo ziko tofauti
Halafu wewe kwenye comment zako unatuonaga watanzania ni MAZWAZWA sana eeeh YAAN unajiona umestaharabika sana wakati wewe ni mmatumbi tu kama sisi
Sikiliza KIJANA hakuna kinachotokea DUNIANI bila 7bu ya kutokea ukizariwa katika FAMIRY ya kitajiri kuna uwezekano mkubwa wa wewe kuwa tajiri
Ama sivyo ukiwa upo nje ya hapo lazima uangaike na upate tabu na BAHATI pia iwe kwako ili kuufikia UTAJIRI
Hvyo hata TANZANIA lazima iangaike ipate tabu ifikie huko unapopataka
Sio failing state kama unavyowaza tanzania ya miaka 50 ipo tofauti na sasa yaan hata Tanzania ya miaka 20 iliyopita ipo tofauti mno na sasa
MIFUMO waliipigania BABA zetu ndio iliyotufikisha hapa kutulea kwa mila na desturi kutupa ELIMU
Hvyo na wewe ni jukumu lako kuhakikisha WATOTO WAJUKUU wako hawaishi kama maisha uliyoishi wewe utotoniView attachment 2601921View attachment 2601922View attachment 2601924