Dodoma: Waziri Mkuu aagiza Mwanajeshi, maarufu kama HK akamatwe kwa udhalilishaji

Kipindi cha MAGUFULI mbona watu wengi tu walikuwa wanamlilia Magu awasaidie haikuwa failed State?
Kwa mujibu wa nani? Wapi nilisema hivyo?

Watanzania wengi kama wewe wana mawazo ninayoyaita "one track mind".

Mawazo yao ni kama yanafuata reli ya treni, hawawezi kufikiri nje ya reli.

Wakimuona mtu kakosoa Waislamu, basi mara moja wanafikiri huyu lazima atakuwa Mkristo.

Wakiona mtu anakosoa serikali ya Samia, basi mara moja wanafikiri huyu lazima atakuwa team Magufuli.

Wakati kuna watu wengine Waislamu na Wakristo tunawaweka fungu moja, na hao Magufuli na Samia hatukubali kwamba wana tofauti kubwa kama wengi wanavyosema.

Sasa unaniuliza swali hilo la Magufuli kwani wapi nilimtetea Magufuli hapa mimi?
 
Kwa huu mtindo hayati jpm alijipatia watu wengi kwelikweli. Haiwezekani waziri mkuu anadili na kesi ya wizi wa kuku halafu kuna vichwa vinashangilia na kumwona jembe. Haikupaswa hata kuwa reported hii habari.
 
Jiongeze hapo aongelewi KIBAKA wa mtaani
Anaongelea MWANAJESHI ambaye analitia DOA jeshi zima kwa kukosa NIDHAMU ya kijeshi
Waziri mkuu alichojaribu ni kutaka JESHI limchukulie hatua za kinidhamu iwe FUNDISHO kwa wanajeshi wengine wenye TABIA kama hizo

Najua utataka kuiusisha MAREKANI CHINA na MATAIFA mengine kwa kusema huwezi kukuta mambo kama hayo KIONGOZI mkubwa wa nchi kuongelea jambo kama hilo hadhalani kuhusu MWANAJESHI au hayo mambo sijui wizi nk
ni sawa ndio huwezi kukuta
Ila hii ni TANZANIA tuna namna na njia zetu za kuishi kufikisha ambazo ni kama DESTURI ambapo hata ipite MIAKA 100 mbele ndio tupo HIVYO tulivyo
Ndio mana unaiona hii AMANI tuliyo nayo TUNU kubwa mno
 
Kesi ya huyo mwanajeshi ilikuwa ya kushughulikiwa na kituo kidogo cha polisi na mwenyekiti wa kijiji/mtaa.
 
Kesi ya huyo mwanajeshi ilikuwa ya kushughulikiwa na kituo kidogo cha polisi na mwenyekiti wa kijiji/mtaa.
Sawa sawa
Basi ndugu yangu sisi tunajivunia TANZANIA yetu
Na namna Viongozi wetu wanavyosikiliza kero zetu DIRECT na kutupatia MAJIBI chanya papohapo
Na tulijivunia sana MAGUFURI mana yeye alikuwa mpk anatoa alichonacho kusaidia
Kabla ya MAGUFURI hata kikwete alikuwa anasikiliza kero zetu DIRECT mara chachechache

Hvyo kama hujapenda WAZIRI MKUU alivyoagize awajibishwe huyo MWANAJESHI mjingamjinga anayelitia doa JESHI letu imara
Nenda uhamie SUDAN
 
Basi ondoeni nafasi zote za uongozi na mahakama wabaki Rais na waziri mkuu tu wawe wanasikiliza kero zenu direct.
 
Hilo jina tu HK ni ishala kwamba ni mshamba na katokea kwenye umaskini na ufukara kupata kazi ya jeshi.

Hajui dhamana yake kwenye jamii. Bado ana uanajeshi wa kizamani sana wa kutaka heshima nankuogipwa kisa tu ni mwajiriwa wa jeshi.

Ukimchunguza utakuta ni form 4 dv 4 mjinga huyo.

Wajinga tu ndi wanajichukulia sheria mkononi
 
Kuna kipindi nipo dom namfuatilia kondoo aliyekengeuka kumbe anatoka na mwana HK duh! huo mkwara nilipigwa [emoji15] sintasahau nikaambiwa kaa mbali hadi muda huu ameshakula kilo 4 za my wetu so huku ni danger zone nikapotezea tu na kondoo wa bwana ndio akaliwa hivyo 😎
 
Jeshi lina ngazi zake za court martial, polisi wapo anaweza kuhukumiwa kiraia ikibidi, yani bado issue haijafika ngazi ya kuwa ya Waziri Mkuu, ni basi tu Bongo mifumo haifanyi kazi, ndiyo definition ya failing state ninayoisema mimi hiyo.

Tanzania mna namna hiyo ya kuishi ambayo wewe unaonekana kuikubali kwa sababu ni failing state, na wewe unachangia hali kuendelea kuwa hivyo, kwa sababu unaonekana kuikubali, hata kifikra tu.

Tanzania sehemu nyingi hakuna amani, kuna ukosefu wa fujo tu, usivichanganye vitu hivi viwili.
 
Tukiachana na hilo mana huna hoja 7bu WAZIRI mkuu ameagiza akamatwe SHERIA ichukue mkondo wake ajamuhukumu na wala hajasema afukuzwe kazi au ahukumiwe kifungo ameagiza akamatwe na mwenye TV yake arudishiwe na akome KUSHIKASHIKA CHUPI ZA WAKE ZA WATU 7BU ANALIDHALILISHA JESHI

Sasa Nitajie sehemu moja tu ambayo hakuna AMANI kwenye mapigano fujo mauaji ambapo watu wanapakimbia achana na hizo nyingi ulizosema nitajie tu sehemu moja
 
Unaachana na lipi?

Nchi inahitaji Waziri Mkuu aseme ili sheria ifuate mkondo wake?

Bila Waziri Mkuu kusema sheria haifuati mkondo wake?

Huoni mpaka hapo ushawekea nguvu point yangu kwamba Tanzania is a failing state?
 
Unaachana na lipi?

Nchi inahitaji Waziri Mkuu aseme ili sheria ifuate mkondo wake?

Bila Waziri Mkuu kusema sheria haifuati mkondo wake?

Huoni mpaka hapo ushawekea nguvu point yangu kwamba Tanzania is a failing state?
Huo ustaarabu unaozungumzia wewe haukuja kwa miaka 50
Ilichukua miaka mingi mno
Nawaonaga maWEHU kujilinganisha na mataifa yalioanza kuutafata USTARAABU zaidi ya miaka 1000 iliyopita hata ukiilinganishia CHINA MALAYSIA sijui SINGAPORE kuwa mwaka gani sijui tulikuwa sawa kiuchumi hatuwezi lingana nao hao walioanza kuyahifadhi maandishi kumbukumbu tangu miaka ya 1000 huko
Wewe uliyechini ya jua hata miongo mitano hujaifikia na kuipita
kwa kuwa upe eneo ambalo umeigizia tabia na tamaduni za huko unataka kulifananisha na tanzania
Hii ndo TANZANIA na ipo hivyo ilipotoka ilipo na inapokwenda ni TOFAUTI acha kukalili MAISHA na kulazimisha TAMADUNI ambazo ziko tofauti

Halafu wewe kwenye comment zako unatuonaga watanzania ni MAZWAZWA sana eeeh YAAN unajiona umestaharabika sana wakati wewe ni mmatumbi tu kama sisi
Sikiliza KIJANA hakuna kinachotokea DUNIANI bila 7bu ya kutokea ukizariwa katika FAMIRY ya kitajiri kuna uwezekano mkubwa wa wewe kuwa tajiri
Ama sivyo ukiwa upo nje ya hapo lazima uangaike na upate tabu na BAHATI pia iwe kwako ili kuufikia UTAJIRI
Hvyo hata TANZANIA lazima iangaike ipate tabu ifikie huko unapopataka

Sio failing state kama unavyowaza tanzania ya miaka 50 ipo tofauti na sasa yaan hata Tanzania ya miaka 20 iliyopita ipo tofauti mno na sasa
MIFUMO waliipigania BABA zetu ndio iliyotufikisha hapa kutulea kwa mila na desturi kutupa ELIMU
Hvyo na wewe ni jukumu lako kuhakikisha WATOTO WAJUKUU wako hawaishi kama maisha uliyoishi wewe utotoni
 

Naelewa unasikia uchungu kwa sababu nimesema ukweli. Usichukulie kama nakutukania nchi, chukulia kama ukweli, changamoto.

Huwezi kutatua tatizo kama hulikubali kwamba lipo. Unajidanganyadanganya na longolongo nyiingi.

Kwanza unaongelea ustaarabu.

Mpaka hapo ushashindwa.

Pili nipe miaka unayoona inafaa tuache namba hapa hata watu wa zama zijazo wakija kurejea mazungumzo yetu waweze kuhukumu vizuri.

Tunahitaji miaka mingapi?

Na kwa mwendo huu tutafika?

Ukilinganisha Tanzania ya zamani na ya sasa kwenye mambo kama haya unaona tunaendelea mbele au tunarudi nyuma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…