Uchaguzi 2020 Dodoma yazizima kwa Maandalizi ya Lissu kuchukua fomu 8.8.2020

Kesho jumamosi hiyo ofisi ipo wazi? Kama iko wazi ni mpaka saa ngapi? Hatutaki kusikia alifika akakuta ofisi imefungwa wakati amekuwa na wiki nzima ya kufuata hiyo fomu.
Lazima tuwe serious, au kama ni maigizo , pia tuambiane tusipotezeane muda.
 
Vipi umati uliomlaki Airport Dar ulisababisha vurugu popote
 
Kesho jumamosi hiyo ofisi ipo wazi? Kama iko wazi ni mpaka saa ngapi? Hatutaki kusikia alifika akakuta ofisi imefungwa wakati amekuwa na wiki nzima ya kufuata hiyo fomu.
Lazima tuwe serious, au kama ni maigizo , pia tuambiane tusipotezeane muda.
Tulia nyumbani tu huku Dunia ikifuatilia kinachoendelea kesho
 
Hivi kesho ni siku ya kazi au chadema wanatafuta ugomvi ?
 
Haraka sana wahi hospital ..itakuwa dish limekucheza wewe
 
Afanye hivi kama jinsi ulivyo shauri hilo litachangia kuinua hamasa ya watanzania litasaidia kuwakumbusha machungu watanzania wote wanaompenda ..pia litachangia kuwafanya watu wazidi kuwa na motisha ya kukiondoa chama tawala madarakani ..naimani hilo tukio likitokea kesho kuna watu watamwaga machozi ya huzuni na furaha
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeishatoa utaratibu wa wagombea kuchukua fomu sasa kama mnajitia vichwa maji jaribu muende kwa maandamano, muone mtakavyofumuliwa.
kwani hata wakienda kwa kumsindikiza mtu wao wanakua wameenda kuiba viti vya tume ? why wafumuliwe na kwa sababu zipi na je wewe unaetaka vyombo vya ulinzi vifumue wananchi kweli unalitakia taifa ili mema kweli acheni izo ustarabu wa kueshim uhuru wa mtu ali hali hajavunja sheria ndo utatuvusha salama uchaguzi huu , na nimatumain yangu vyombo vyetu vya ulinzi viko makini katika kushauri vizuri ili kila kitu kiende sawa tuliona ya dar ya mapokezi mambo yalikua safi hakuna hata mende alie dhulika na kweli walifanya kazi nzuri ,na kwa mwendo huo nimatumaini yangu kila kitu kitaenda sawa mpaka 28 octo
 
Ungesema mkoa mwingine, Dodoma hawana maana hata kidogo watakaojaa ni wanafunzi wa vyuo na wapenda matukio, kwenye uchaguzi watakuwa makwao, na itabaki kijani kwa asilimia kubwa.

Kabisa,wagogo ni wapuuzi sana.Nimiongoni mwa makabila yanayotukwamisha kupata mabadiliko ya kweli hapa Tanzania.Dodoma upinzani Unahitaji nguvu ya ziada.
 
hivi kati ya TL na Jiwe ambaye ni Rais, anayetaka kuwapanua watu na kumuoza mama ake kwa zawadi ya jogoo nani mropokaji?
Mie bado sijaona kibaya anachoongea Lissu, tumekaa kwa utulivu wa kinyonge kwa miaka karibu mitatu mpaka akili zimesinyaa, tunaona Lissu anaongea hovyo.

Tumejaa woga na hofu mpaka tunataka Lissu nae awe kama sisi.
 
Je, CHADEMA wameshajiridhisha na Tume ya Uchaguzi ( NEC ) kuwa Kesho watakuwepo? Aliyeipanga hii tarehe alikosea na naomba niishie hapa.
Hata mie nashangaa, kesho ni siku ya sherehe za wakulima iweje ofisi za NEC ziwe wazi.
 
October 2020 uchaguzi lakini mpaka sasa wanyanyembe hamjajipanga kwenye kitengo cha habari?
Mgombea wenu Lissu mpaka sasa hajajua aelekee wapi mpaka afundwe?
Hata ratiba za sikuu hamzijui?
Nyinyi hamna umakinifu hamuwezi kupewa nchi.
Afadhali Lissu anaweza kufundwa, wa kwako ukimshauri ndio unaharibu kabisa.
 
Basi kaa na kura yako nyumbani kwako, sisi tunataka taifa linaloongozwa kwa sheria na katiba na Lissu ndio tumaini la kutupeleka huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…