Uchaguzi 2020 Dodoma yazizima kwa Maandalizi ya Lissu kuchukua fomu 8.8.2020

Mkuu umasikini wako haujaletwa na CCM Bali ni uzembe wako wa kufanya kazi,ulitaka ccm ije ikuamshe asubuhi uende shambani
Unaizungumzia CCM hii ambayo imeshindwa hata kuleta basic needs kama maji na umeme.

Miji yote haijapangwa, michafu na kila eneo ni la biashara tena yoyote. Hìi CCM ifutwe tuanze kujenga taifa la kisasa
 
Tunae mshauri wa chama wa mambo yahusuyo sheria na taratibu, usihofu.
 
Nauliza tu. Kesho si nisikuku ya NANE NANE OFISI ZITAKUWEPO WAZI ???
 
Unaizungumzia CCM hii ambayo imeshindwa hata kuleta basic needs kama maji na umeme.

Miji yote haijapangwa, michafu na kila eneo ni la biashara tena yoyote. Hìi CCM ifutwe tuanze kujenga taifa la kisasa
Mkuu Unaona sasa ninyi wafuasi wa CHADEMA tunaposema elimu yenu ni ndoto hamuelewi,haujui tofauti ya basic needs na social services

Ngoja nikupeni ilimu shekhe,basic needs ni tatu tu chakula,malazi na mavazi, wakati social services ni kama umeme ,maji elimu,huduma za afya nk

Jioange unapojibu hoja humu maana unaonekana kituko
 
Huyu anayelamba miguu ya Wazungu wazi wazi namna hii ndio awe Rais wa Tanzania loo,hata haya hana.Aibu kabisa.
 

Attachments

  • VID-20200807-WA0002.mp4
    12.7 MB
Hakika hakika ni ukweli mtupu.
Mipango zamani walikua wanapiga mikwara uwepo wa wanachama wa CHADEMA lkn siku hz wameachia ma-lecturer wenyewe ni CHADEMA full ila kiunafiki kwa boss wao wanakuwa na vikadi cha kijan pembeni.
 
Kwa kuongezea suala la yy kushambuliwa isiwe ajenda kabisa tena ikibidi asiliongelee Hilo suala kbs
Toa sababu, au ndio sera za kumuachia Mungu.

Kama yule binti wa kimarekani asingerusha clip ya George Floyd, wale polisi leo wangekuwa wanakula bata tu.
 
Sisi sio wastaarabu, sisi tuna ukondoo uliopitiliza. Mtu anatundikwa risasi kama nyati kila mtu yupo kimya nyumbani kwake.

Wastaarabu wapo US, unaua raia wanastand up na kusema "This has to stop!"
 
Huo ni ushauri mzito sana.
Inabidi cdm muwe na kamati maalum ya ushauri kwa TL.
Ieleweke anajiandaa kuingia kwenye taasisi kubwa hivyo ni lazima aelewe anachozungumza sio azungumze kila anachokielewa.

Je unaridhika na kauli za Rais anayemaliza muda wake?
 
Mmekosa hata picha?
 
Haha,

Mtu anapost toka chini ya uvungu mwa kitanda , anasema eti mji umezizima, hamna hata picha moja.

Endeleeni kusafiri kujazia uongo mnaopost hapa.
 
Ina uhusiano gani na kumsindikiza shujaa wao? Watu wanajua kuchukua tahadhari

Kwa hiyo corona ipo ila kwa washabiki wa lisu wao ndo wana akiri sana ya kuikwepa bila kuchukua tahadhali?
Mbona hawavai barakoa wala distance?
Ila yeue lisu anawambia mabeberu corona aipo kwa wingi TZ.
Ujinga huo mbki nao ninyi ila lazima tumfundishe adabu kwenye kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…