Uchaguzi 2020 Dodoma yazizima kwa Maandalizi ya Lissu kuchukua fomu 8.8.2020

hivi kati ya TL na Jiwe ambaye ni Rais, anayetaka kuwapanua watu na kumuoza mama ake kwa zawadi ya jogoo nani mropokaji?
Em nawe tumia hata akili ya chekechea bc mkuu, kwa akili yako yote unadhani aliloongea litafanyika hivyo.? Bc mzungumzie na yule mama aliyesema amemuandikia barua rais ya kimapenzi
 
Mtoa mada na nyie wengine mnaodhani huyo mtu wenu atashinda endeleeni kujazana upumbavu kichwani
 
Akumbuke tu huo ndo mji ulioweka historia ya uhai wake, ikibidi atembelee eneo la tukio kutoa sadaka na aende hospitaliya mkoa kuwashukuru madaktari na manesi, zaidi ya yote awe MAKINI.

CHADEMA muwe makini mno kama mdau anavyosema hapa. Yasije yakatumika yale yaliyomdhuru Mwakyembe (hamtashtukia haraka).. kwenye watu wengi kuna mengi. Lissu alindwe sana sana, asijiamini sana. Muhimu tufike kwenye campaign salama.
 
Kwa nini mtengeneze mazingira ya uwepo wa nguvu ya umma?.Mgombea wa ACt-Wazalendo kachukua Fomu kwa utulivu ule ule wa jana.Fanyeni masihara,mtajikuta mnawaangalia Magufuli na Membe wakipishana kwenye majimbo huku nyie mkiwa watazamaji.

Mbona nyinyi mlitoa kabisa taarifa ya Mwenyekiti wenu mkihitaji wanachama wenu na watu walienda nae kuchukua form?! Baada ya hapo mkafanya na campaign kabisaa. Hapa mnateseka nini?!
 
Tayari tunakaribia mji ule, kwa mbali kwenye giza hili totoro tumeanza kuona utitiri wa taa za mji na huo mji ni Dodoma ili kuweza kutekeleza takwa la kisheria.

Kesho ni siku muhimu kwa kambi ya upinzani kupitia CHADEMA kuelekea uchaguzi mkuu wa tarehe 28 October 2020.
 
Ww ni msemaji wa tume? Sio vibaya pia Molemo akitolea ufafanuzi kama wamehakikishiwa kukuta ofisi ikiwa wazi.
wanataka kupata kisingizio sababu hata Membe alitakiwa kwenda kesho lakini imebidi aende leo. Hii tabia ya Chadema ya kutengeneza matukio haitawasaidia chochote
 
wanataka kupata kisingizio sababu hata Membe alitakiwa kwenda kesho lakini imebidi aende leo. Hii tabia ya Chadema ya kutengeneza matukio haitawasaidia chochote

Kwani tume wanaona shida gani kusema kama leo hawatakuwepo ili wasiwape cdm hayo matukio? Sehemu zote kwenye watu au taasisi zenye nia njema, huwataarifu wadau wao kuwa siku fulani hawatafungua ofisi, na huweka sababu ya kutofungua ofisi. Unaposema Membe alienda jana, kwani cdm wanafanya mambo yao kwa kuwaiga ACT?
 
Lissu aliutangazia ulimwengu kuwa Tanzania kuna Corona na Serikali haisemi ukweli na haichukui tahadhari ya kujilinda. Yeye amejipanga vipi kuhusu social distancing, kunawa maji tiririka na kuvaa barakoa? Au ATAMUIGA Rais Magufuli kutovaa barakoa kwa kuwa HAKUNA Corona!?
 
CCM imeshindwa kuboresha maslahi ya wafanyakazi na kutoa ajira kwa vijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…