- Thread starter
- #401
Endelea kuwaongezea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kuwaongezea
Msafara Sasa hivi unaelekea ofisi za chamaWatu wamezuiwa getini wasiingie hapa kwenye ofisi za tume
Yaani mpaka tupige mayowee utadhani mnataka tuwalipe
Kwani msafara umeanzia ofsini kwa tume?Watu wamezuiwa getini wasiingie hapa kwenye ofisi za tume
NaamKwani msafara umeanzia ofsini kwa tume?
Naam
Watu wamezuiwa getini wasiingie hapa kwenye ofisi za tume
Ziko waziKesho ni siku ya sikukuu ya nanenane ni mapumziko hakuna kazi, ofisi hazitafunguliwa.
Lissu hawezi kushinda na kamwe hatakuwa rais wa Tanzania labda jua libadili uelekeo,kwa lipi lissu kaifanyia Tanzania na watanzania hadi wampe heshima ya kiongoza nchi yetu?
Lissu ni mtu hatari sana kwa mstakabari wa taifa letu kwani ni selfish person, ni mtu mwenye jazba,hana nidhamu,amejaaa chuki,na anatumika na nchi za magharibi ili kuvuruga mstakari na umoja wa taifa letu,huyu bwana hafai lazima apingwe kwa kila namna .
Harafu mtu anaposema lissu atakuwa rais ni kujidanganya sana,ataongoza serikali ipi ikiwa chama chake hakina uhakika wa kupata japo wabunge watano,hii ni ndoto
Mwambie lissu kuwa amejidanganya na kama anamatumaini ya kuiongoza Tanzania basi kapotea,
Eti mtetezi wa wanyonge,wanyonge wepi hao anaowatetea ?
Mkuu mategemea kura za lia lia,mlimshambulia ili aje kupata urais wa huduma,kwani kwa mwaka ni watu wangapi wanakufa kwa kushambuliwa hadi kuwe na haja ya.kumchagua lissu ili arekeshe mfumo?Unyama aliofanyiwa na vyombo vya dola na serikali kutoonyesha hatua zozote za ufuatiliaji juu yake inatosha kumfanya awe rais na huenda akasaidia kurekebisha hayo makosa yanayowafanya baadhi ya wananchi hasa sisi wa hali ya chini tusijihisi salama katika nchi yetu.
Benz G series hiyo made in GermanyHiyo gali aliyopanda mbona sjaielewa ati
Si ulisema leo hakuna kazi tutashindwa.kanawe huko chini unatoa harufu kali kama panya aliyekufa.Wamejitokeza watu wachache sana. Aibu hii sijui watificha wapi magwandaaa
Si umeona leo huko Dodoma kile kimsafara kilivyo wakwaza wana jiji la Dodoma wakati wa kwenda na kutoka Ofisi za NEC!? Dodoma wamefuata sheria bila shurti, si mnamjua mzee wa "watapata taabu sana".Vipi umati uliomlaki Airport Dar ulisababisha vurugu popote
Masuala haya ni PESA, SI UNAJUA MAMBO YA aittime!? Kama huna pesa hakuna wa kukutoa hewani sio masuala ya bure bure tu. Unachoweza kuambulia labda ni kanukta tu kwenye taarifa za habari. Vyombo vya habari viko katika msimu wa kuvuna. Usiwaone UVCCM wakirushwa ukadhani ni bure, no wanalipia kila kitu ndugu yangu.Vipi online TV's zitarusha mubashara Hilo tukio.?
Tusije tukakaa mkao wa kula halafu wale vibaraka wa serikali wakakata mawasiliano!