Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
safi sana. mambo ya kuleta u......i hapa, tupa kule. yule dogo naona alishajihakikishia. na hawa watoto wa wakubwa ujue wanabebwagwa tu.Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichokutana leo katika ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Samia Suluhu Hassan kimempitisha Mbunge wa Ilala Mussa Zungu kuwa Mgombea wa Kiti Cha Naibu Spika wa Bunge la Tanzania.
Nafasi hii imekuwa wazi baada ya Tulia Ackson kujiuzulu unaibu Spika ili agombee Uspika.
View attachment 2113082
Uingereza waziri wa mambo ya ndani na usalama wa taifa ni muhindiHivi Waafrika wakienda India wanaweza kupata hata ujumbe wa nyumba kumi.??
Wema wa waafrika ni kitanzi kwao.
Rasilimali za Afrika zinaliwa na wageni!!
Remi Ongala aliwahi kuimba ""Wemaaa ,wemaaaaa, wemaaa mmmm#** nyuku !!""
Napendekeza Raisi amteue mhindi Mchungaji Vernon fernandes au mkewe wamiliki wa Agape Television yeyote kati yao kuwa mbunge au mkuu wa mkoa au cheo chochote kikubwaToka uko na wahind wenxako
Ukiwa ngozi nyeusi tuu unakuwa mswahili?Uingereza waziri wa fedha mswahili ngozi nyeusi m ghana
Huelewi mwafrika ngozi nyeusi ndie waziri wa fedha sasa hivi uingereza bajeti yote ya uingereza iko chini ya mwafrika ngozi nyeusi tiii sio mzungu mwingerezaUkiwa ngozi nyeusi tuu unakuwa mswahili?
Mghana toka lini akawa mswahili?
Hayo mawazo ya hovyo siyo kila rais ni Nyerere.
Hizi njaa hizi, Sasa huyu mzee ameamua kuwa chini ya Huyu dada, angetunza heshima yake
Mbona Chenge ni mzee na yupo chini ya Samia ambaye kiumri ni mdogo mno kwa Andrew?Haitapendeza kuwa chini ya yule binti!
Wahindi hawataki tabu za kuhangaika na matatizo yenu waswahili huko mitaani. Labda umuombe mama awape fursa zaidi za tenda za serikali na mashirika ya umma, vibali vya uagizaji bidhaa maalum na kuwapunguzia zigo la tozo.Napendekeza Raisi amteue mhindi Mchungaji Vernon fernandes au mkewe wamiliki wa Agape Television yeyote kati yao kuwa mbunge au mkuu wa mkoa au cheo chochote kikubwa
Wahindi wamesahaulika sana teuzi .Nyerere aliwakumbuka sana
Ni kundi lililosahaulika wanahitaji kuweko bungeni na serikalini
Mama Samia watendee haki hivi kweli hakuna hata mhindi mkuu wa wilaya au mbunge sio fair
Sijakataa kwamba ni mweusi, ila siyo kila mtu mweusi ni mswahili.Huelewi mwafrika ngozi nyeusi ndie waziri wa fedha sasa hivi uingereza bajeti yote ya uingereza iko chini ya mwafrika ngozi nyeusi tiii sio mzungu mwingereza
Acha mfumo dume! Katika utendaji jinsia haina nafasi, wewe mbona upo chini ya rais wakike?Huyu na uzee wote huo anaenda kuwa chini ya Tulia?.
Kuna wabunge kibao USA ni ngozi nyeusi na kiasili ni wafrica acha ubaguziHivi Waafrika wakienda India wanaweza kupata hata ujumbe wa nyumba kumi.??
Wema wa waafrika ni kitanzi kwao.
Rasilimali za Afrika zinaliwa na wageni!!
Remi Ongala aliwahi kuimba ""Wemaaa ,wemaaaaa, wemaaa mmmm#** nyuku !!""
Hizi njaa hizi, Sasa huyu mzee ameamua kuwa chini ya Huyu dada, angetunza heshima yake
UMUHIMU WAKE NI NINI SASA?Katiba mpya muhimu