Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
safi sana. mambo ya kuleta u......i hapa, tupa kule. yule dogo naona alishajihakikishia. na hawa watoto wa wakubwa ujue wanabebwagwa tu.Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichokutana leo katika ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Samia Suluhu Hassan kimempitisha Mbunge wa Ilala Mussa Zungu kuwa Mgombea wa Kiti Cha Naibu Spika wa Bunge la Tanzania.
Nafasi hii imekuwa wazi baada ya Tulia Ackson kujiuzulu unaibu Spika ili agombee Uspika.
View attachment 2113082