Dodoma: Zungu ateuliwa na CCM kuwania kiti cha Naibu Spika wa Bunge la Tanzania

Dodoma: Zungu ateuliwa na CCM kuwania kiti cha Naibu Spika wa Bunge la Tanzania

Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichokutana leo katika ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Samia Suluhu Hassan kimempitisha Mbunge wa Ilala Mussa Zungu kuwa Mgombea wa Kiti Cha Naibu Spika wa Bunge la Tanzania.

Nafasi hii imekuwa wazi baada ya Tulia Ackson kujiuzulu unaibu Spika ili agombee Uspika.
View attachment 2113082
safi sana. mambo ya kuleta u......i hapa, tupa kule. yule dogo naona alishajihakikishia. na hawa watoto wa wakubwa ujue wanabebwagwa tu.
 
Kwa shavu hilo zungu atagombea tena ubunge 2025 japo alishatangaza kuwa ni awamu ya mwisho. V8 litamu bana
 
Hivi Waafrika wakienda India wanaweza kupata hata ujumbe wa nyumba kumi.??

Wema wa waafrika ni kitanzi kwao.
Rasilimali za Afrika zinaliwa na wageni!!

Remi Ongala aliwahi kuimba ""Wemaaa ,wemaaaaa, wemaaa mmmm#** nyuku !!""
Uingereza waziri wa mambo ya ndani na usalama wa taifa ni muhindi
 
Toka uko na wahind wenxako
Napendekeza Raisi amteue mhindi Mchungaji Vernon fernandes au mkewe wamiliki wa Agape Television yeyote kati yao kuwa mbunge au mkuu wa mkoa au cheo chochote kikubwa

Wahindi wamesahaulika sana teuzi .Nyerere aliwakumbuka sana

Ni kundi lililosahaulika wanahitaji kuweko bungeni na serikalini

Mama Samia watendee haki hivi kweli hakuna hata mhindi mkuu wa wilaya au mbunge sio fair
 
Ukiwa ngozi nyeusi tuu unakuwa mswahili?
Mghana toka lini akawa mswahili?
Hayo mawazo ya hovyo siyo kila rais ni Nyerere.
Huelewi mwafrika ngozi nyeusi ndie waziri wa fedha sasa hivi uingereza bajeti yote ya uingereza iko chini ya mwafrika ngozi nyeusi tiii sio mzungu mwingereza
 
Hizi njaa hizi, Sasa huyu mzee ameamua kuwa chini ya Huyu dada, angetunza heshima yake

There are certain things that don’t respect anyone’s age. These include wealth, authority at workplaces, etc.

Vipi, Biden alikuwa na njaa alipokubali kuwa VP wa Obama (who is 19 years younger than him)?
 
Napendekeza Raisi amteue mhindi Mchungaji Vernon fernandes au mkewe wamiliki wa Agape Television yeyote kati yao kuwa mbunge au mkuu wa mkoa au cheo chochote kikubwa

Wahindi wamesahaulika sana teuzi .Nyerere aliwakumbuka sana

Ni kundi lililosahaulika wanahitaji kuweko bungeni na serikalini

Mama Samia watendee haki hivi kweli hakuna hata mhindi mkuu wa wilaya au mbunge sio fair
Wahindi hawataki tabu za kuhangaika na matatizo yenu waswahili huko mitaani. Labda umuombe mama awape fursa zaidi za tenda za serikali na mashirika ya umma, vibali vya uagizaji bidhaa maalum na kuwapunguzia zigo la tozo.
 
Huelewi mwafrika ngozi nyeusi ndie waziri wa fedha sasa hivi uingereza bajeti yote ya uingereza iko chini ya mwafrika ngozi nyeusi tiii sio mzungu mwingereza
Sijakataa kwamba ni mweusi, ila siyo kila mtu mweusi ni mswahili.
 
Sasa baada ya kupendekeza tozo kwenye miamala ya fedha, utakuja na lipi awamu hii?
 
Hivi Waafrika wakienda India wanaweza kupata hata ujumbe wa nyumba kumi.??

Wema wa waafrika ni kitanzi kwao.
Rasilimali za Afrika zinaliwa na wageni!!

Remi Ongala aliwahi kuimba ""Wemaaa ,wemaaaaa, wemaaa mmmm#** nyuku !!""
Kuna wabunge kibao USA ni ngozi nyeusi na kiasili ni wafrica acha ubaguzi
 
Akafute tozo alizoshirikiana na madelu na hangaya kuzipigia upatu, hadi wakamuingiza chaka ndugai naye akaanza kutoa povu kutetea tozo. Leo hii ndugai wamekula kichwa pamoja na kuwasaidia kutetea tozo.
 
Back
Top Bottom