Does Africa have its own (unique) definition of democracy?

Does Africa have its own (unique) definition of democracy?

Siwezi kufanya hivyo maana najua ninachochangia.

Nitakachoweza ni kutoa maoni tu. Sio kuhitimisha mjadala.


Hakuna mjadala kwenye uzi...naona wachangiaji wakibishana tu.
Uliposema kuhusu suala lenye mjadala mpana hapo awali ulikuwa na maana gani?

Hilo suala ni lipi?
 
"Demokratia" was not the first known Democracy in the world.
Neither was the concept of democracy promulgated by the Greeks.
What was the first known Democracy in the world? What is Democracy?

You said earlier: "Even the Greeks knew this."
How are the Greeks related to what you said earlier?
 
Yes, even the Greeks knew democracy to be both a System and A Value.
Now back to your question: What was the first known Democracy in the World ???
I ask you this simple questions: What were the first known civilizations in the world ???
What I said is that the Greeks knew Democracy as 'Demokratia' which was the first known Democracy in the world.

How are the Greeks related to what you said earlier? What is Democracy? The questions still stand!

As a matter of fact, how are the Greeks even related to our discussion as a whole?
 
Nilimsikia bwana fulani akisema demokrasia tuliyonayo inatutosha, sasa nikajiuliza hivi demokrasia inapimwa kwenye kibaba kama mafuta ya taa...
 
The etymology of the word Democracy is Greek word "Demokratia"
And again I say this my friend: "Demokratia" is not the first known Democracy in the world.
And I say this: The Greeks knew Democracy as 'Demokratia' which was the first known Democracy in the world.

You disagree?

Well,
What was the first known Democracy in the world? What is Democracy?

How are the Greeks related to what you said earlier and how are they even related to our discussion as a whole?
 
And I say this: The Greeks knew Democracy as 'Demokratia' which was the first known Democracy in the world.

You disagree?

Well,
What was the first known Democracy in the world? What is Democracy?
safi sana mkuu. I didn't know this before@
 
And I say this: The Greeks knew Democracy as 'Demokratia' which was the first known Democracy in the world.

You disagree?

Well,
What was the first known Democracy in the world? What is Democracy?

How are the Greeks related to what you said earlier and how are they even related to our discussion as a whole?
Kingreza kimeenda shule baba la baba
 
Kijerumani ni tatizo, ukiacha Ujerumani na majirani zake kuna sehemu kinazungumzwa?
Binafsi nilikuwa natamani sana kujifunza kiispaniola
Sijutii kujifunza kijerumani. German is the European Power House after U.K
 
Juzi nilikuwa namsikiliza mhe. Hamad mwenyekiti wa ADC akawa anasema Marekani pamoja na demokrasia yao hawaruhusu mtu kuanzisha chama cha kikomunisti, vile vile china nao hawaruhusu kuanzisha chama cha kibepari.
Mathalani Tanzania tuna vyama vya siasa 20+ wakati Marekani wao wanavyo vichache.
Kuja na single definition ya demokrasia ni ngumu kulingana na mazingira husika, pengine labda ifanyike 'rating score' yenye vipengele tofauti tofauti ili kupata walau namna fulani ya kuipima hiyo demokrasia.
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.

Eti ndugu zangu watanzania;

Does Africa has its own (unique) definition of democracy?

Je, Afrika ina tafsiri yake binafsi (ya kipekee) ya neno demokrasia?

View attachment 1516346

Nimeamua kuuliza hivi kwa maana kwamba, nimepokea ujumbe huu kutokwa kwa mtoto wa ndugu yangu analiyezaliwa na kuishi huko huko Ulaya (Uholanzi) na hajawaji kukanyaga huku Tanzania (Africa). Huyu dogo ana miaka 15, kama angekuwa huku Tanzania let's say labda angekuwa form II?

Just imagine wewe ndio Infantry Soldier, ungewezaje kumjibu huyu mtoto wa ndugu yako?

PUMZIKA KWA AMANI MZEE MKAPA. VITA UMEIPIGANA NA MWENDO UMEUMALIZA BABA YETU. MUNGU AKUPE PEPO ILIYO NJEMA MZALENDO MWENZANGU.

View attachment 1516337

OUR MOTTO: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.

BIASHARA: Ninauza Vitabu Vya Kujifunzia Lugha Ya Kijerumani. Ich komme aus der Stadt Dar Es Salaam und verkaufe diese Deutsch-Lernbücher
Nikushihishe lugha. Does Africa have...
 
Quote from mwl nyerere
FB_IMG_15914135296849772.jpg
 
Bwana @Infantry Soldier,

Demokrasia kama nadharia na kanuni ya kiutawala husisitiza kwamba uhalali wa utawala wowote ule duniani ni lazima utoke kwa wananchi na siyo vinginevyo, pia uhalali wa utawala ni lazima ulenge katika kuwafanya hawa wananchi wapate maendeleo. Hapa unaweza ukawa na mfumo wa aina yoyote ile, aidha Ufalme (A Monarchy), Udini (A Theocracy) au Jamhuri (A Republic) muhimu kabisa ni kwamba lazima nguvu itoke kwa wananchi na siyo vinginevyo.

Watawala lazima watawale kwa matakwa ya wananchi kwa kufuata sheria, kanuni na taratibu zilizowekwa baina ya watawala na watawaliwa. Watawala hawatakiwi kufanya jambo lolote lile ambalo litaathiri mustakabali wa wananchi bila wananchi kuhusishwa. Wakijiamulia tu mambo, tena ambayo yanaumiza watawaliwa basi uhalali wao wa kutawala unapotea.

Wanafalsafa wa kale kama John Locke, Thomas Hobbes na Jean-Jacques Rousseau walizungumzia kitu kiitwacho The Social Contract ambapo walisema mataifa hutengenezwa kwa makubaliano baina ya watawala na watawaliwa. Pindi watawala wanavunja hayo makubaliano na kujiamulia kufanya jambo ambalo litawadhuru wananchi wao basi wanapoteza uhalali.

Nakubaliana na Mzee Nyerere kwamba kila sehemu ina Demokrasia yake, japo lazima tukubali kwamba tunaweza kutoa tafsiri mbalimbali za demokrasia na tusiwe na tafsiri moja kuhusu demokrasia. Lakini nachelea kusema kwamba lengo la demokrasia ni moja tu duniani kote, kwenye mifumo yote ya utawala nalo ni "KUHAKIKISHA NCHI INAWALIWA KWA KUFUATA MATAKWA YA WATAWALIWA"

Hivyo basi naweza kumaliza kwa lugha ya kiingereza kwa kusema haya yafuatayo "Democracy as a value does not have a single accepted Universal definition. We can only define Democracy well through a Purposive Approach of what democracy aims to achieve within a particular society. And that is Ensuring the power to rule is derived from the people for their benefit: Suffice to say it, such benefit should always be just, moral and equitable"
duuuh umefafanua kwa marefu sana ndugu. asante sana kwa kunifunza
 
Back
Top Bottom