FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
The Greeks knew Democracy as 'Demokratia' which was the first known Democracy in the world.There is no Democracy as Democracy.
It's either a System or A Value.
Even the Greeks knew this.
Uliposema kuhusu suala lenye mjadala mpana hapo awali ulikuwa na maana gani?Siwezi kufanya hivyo maana najua ninachochangia.
Nitakachoweza ni kutoa maoni tu. Sio kuhitimisha mjadala.
Hakuna mjadala kwenye uzi...naona wachangiaji wakibishana tu.
What was the first known Democracy in the world? What is Democracy?"Demokratia" was not the first known Democracy in the world.
Neither was the concept of democracy promulgated by the Greeks.
What I said is that the Greeks knew Democracy as 'Demokratia' which was the first known Democracy in the world.Yes, even the Greeks knew democracy to be both a System and A Value.
Now back to your question: What was the first known Democracy in the World ???
I ask you this simple questions: What were the first known civilizations in the world ???
And I say this: The Greeks knew Democracy as 'Demokratia' which was the first known Democracy in the world.The etymology of the word Democracy is Greek word "Demokratia"
And again I say this my friend: "Demokratia" is not the first known Democracy in the world.
safi sana mkuu. I didn't know this before@And I say this: The Greeks knew Democracy as 'Demokratia' which was the first known Democracy in the world.
You disagree?
Well,
What was the first known Democracy in the world? What is Democracy?
Kingreza kimeenda shule baba la babaAnd I say this: The Greeks knew Democracy as 'Demokratia' which was the first known Democracy in the world.
You disagree?
Well,
What was the first known Democracy in the world? What is Democracy?
How are the Greeks related to what you said earlier and how are they even related to our discussion as a whole?
Naaaam kaka mkubwa nimekusoma ndugu@Bwana @Infantry Soldier,
Kijerumani ni tatizo, ukiacha Ujerumani na majirani zake kuna sehemu kinazungumzwa?Wakuu, alafu hivyo vitabu ndio mmesusa kununua?
Sijutii kujifunza kijerumani. German is the European Power House after U.KKijerumani ni tatizo, ukiacha Ujerumani na majirani zake kuna sehemu kinazungumzwa?
Binafsi nilikuwa natamani sana kujifunza kiispaniola
Nikushihishe lugha. Does Africa have...Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Eti ndugu zangu watanzania;
Does Africa has its own (unique) definition of democracy?
Je, Afrika ina tafsiri yake binafsi (ya kipekee) ya neno demokrasia?
View attachment 1516346
Nimeamua kuuliza hivi kwa maana kwamba, nimepokea ujumbe huu kutokwa kwa mtoto wa ndugu yangu analiyezaliwa na kuishi huko huko Ulaya (Uholanzi) na hajawaji kukanyaga huku Tanzania (Africa). Huyu dogo ana miaka 15, kama angekuwa huku Tanzania let's say labda angekuwa form II?
Just imagine wewe ndio Infantry Soldier, ungewezaje kumjibu huyu mtoto wa ndugu yako?
PUMZIKA KWA AMANI MZEE MKAPA. VITA UMEIPIGANA NA MWENDO UMEUMALIZA BABA YETU. MUNGU AKUPE PEPO ILIYO NJEMA MZALENDO MWENZANGU.
View attachment 1516337
OUR MOTTO: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
BIASHARA: Ninauza Vitabu Vya Kujifunzia Lugha Ya Kijerumani. Ich komme aus der Stadt Dar Es Salaam und verkaufe diese Deutsch-Lernbücher
Huo ni mtazamo binafsi wa Nyerere, tunaheshimu mawazo yake lakini mawazo yake sio sheria.Mwalimu nyerere alisema kua demokrasia, inaendana na eneo husika. Jaribu kufiatilia quotes zake
Does Africa have ....... ?Kama nimekosea ninaomba unisahihishe. How was I supposed to put it?
Asante sana kwa ufafanuzi wako mkuu.Does Africa have ....... ?
kama ni swaliAsante sana kwa ufafanuzi wako mkuu.
Je, ni sahihi kusema kwamba, Does Paul have a car?Au;
Does Paul has a car?
Asante sana kwa ufafanuzi wako mkuu. Je, ni sahihi kusema kwamba, Does Paul have a car?Au; Does Paul has a car?Nikushihishe lugha. Does Africa have...
duuuh umefafanua kwa marefu sana ndugu. asante sana kwa kunifunzaBwana @Infantry Soldier,
Demokrasia kama nadharia na kanuni ya kiutawala husisitiza kwamba uhalali wa utawala wowote ule duniani ni lazima utoke kwa wananchi na siyo vinginevyo, pia uhalali wa utawala ni lazima ulenge katika kuwafanya hawa wananchi wapate maendeleo. Hapa unaweza ukawa na mfumo wa aina yoyote ile, aidha Ufalme (A Monarchy), Udini (A Theocracy) au Jamhuri (A Republic) muhimu kabisa ni kwamba lazima nguvu itoke kwa wananchi na siyo vinginevyo.
Watawala lazima watawale kwa matakwa ya wananchi kwa kufuata sheria, kanuni na taratibu zilizowekwa baina ya watawala na watawaliwa. Watawala hawatakiwi kufanya jambo lolote lile ambalo litaathiri mustakabali wa wananchi bila wananchi kuhusishwa. Wakijiamulia tu mambo, tena ambayo yanaumiza watawaliwa basi uhalali wao wa kutawala unapotea.
Wanafalsafa wa kale kama John Locke, Thomas Hobbes na Jean-Jacques Rousseau walizungumzia kitu kiitwacho The Social Contract ambapo walisema mataifa hutengenezwa kwa makubaliano baina ya watawala na watawaliwa. Pindi watawala wanavunja hayo makubaliano na kujiamulia kufanya jambo ambalo litawadhuru wananchi wao basi wanapoteza uhalali.
Nakubaliana na Mzee Nyerere kwamba kila sehemu ina Demokrasia yake, japo lazima tukubali kwamba tunaweza kutoa tafsiri mbalimbali za demokrasia na tusiwe na tafsiri moja kuhusu demokrasia. Lakini nachelea kusema kwamba lengo la demokrasia ni moja tu duniani kote, kwenye mifumo yote ya utawala nalo ni "KUHAKIKISHA NCHI INAWALIWA KWA KUFUATA MATAKWA YA WATAWALIWA"
Hivyo basi naweza kumaliza kwa lugha ya kiingereza kwa kusema haya yafuatayo "Democracy as a value does not have a single accepted Universal definition. We can only define Democracy well through a Purposive Approach of what democracy aims to achieve within a particular society. And that is Ensuring the power to rule is derived from the people for their benefit: Suffice to say it, such benefit should always be just, moral and equitable"