Does Africa have its own (unique) definition of democracy?

Does Africa have its own (unique) definition of democracy?

Waliomuua waliwajibishwa,Joe Biden aliyewahi kuwa makamu wa Rais na anayeweza kuwa Rais ajaye alilaani mauaji hayo.
Obama ambaye ni Rais mstaafu alilaani mauaji hayo
Pelosi Spika wa bunge la Marekani alilaani mauaji hayo.
Halafu fahamu pia polisi Marekani ni suala la kimajimbo sio la kitaifa,kuna majimbo yana matatizo ya kipolisi na kuna majimbo yenye huduma nzuri zaidi za kipolisi.
Haya rudi nchini kwako sasa.
Mbona zilimuua Eric Garner wa Marekani? (I can't breathe)
 
hatuna kabisa
yaani sisi hatuna na hatujaunda mfumo wetu wa kiungozi hivi karibuni labda miaka kama 1300 iliyopita na zaidi hadi 1500 kabla ya anguko la africa

nadhani tulikuwa na mifumo thabiti ya kiongozi ubaya ni kwamba wakina Alexander the great na majangili wengine waliiba nyaraka zetu na kutokomea na historia ya muafrica ambayo mpaka leo inafichwa na mataifa mengi ikiwemo hata Vatican,uingereza na nchi nyingine

walichukua na kupandikiza kila elimu na kuondoa uelewa wote kwa jamii zetu tukawa brain washed hadi leo tuna tapaa tapaa huku tukilamba mikono ya watu wenye shombo za samaki tukijua tutapata samaki na mwisho viongozi wanakufa pasipo na msaada wa kudumu kwa mataifa yao

nawasilisha
 
Sasa kwanini kinachofanyika huku Afrika na polisi sio “personal act” na badala yake inaonekana ni “system act”?
Ingekuwa personal acts, kungekuwa na mashtaka pengine na hukumu za hao personnel, for their individual actions R.I.P. Akwilina.

Tukubali tukatae, ni tatizo la mfumo wa maagizo na maelekezo toka juu. Ndiyo hakuna mtawala aweza wajibisha polisi, against brutality in Africa!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Wapo baadhi ya askari Polisi wanajichukulia sheria mkononi pasipo kufuata taratibu za kazi zao
Yesu alimuuliza mtu mmoja " Na wewe mwalimu wa sheria na huyajui haya".
Mkuu wewe ni mwandishi wa makala humu you should know better kuwa racism ya US ni system based. Na inshort siyo US tuu nenda Australia, rudi S.Africa nenda Canada ingawa kwa kiasi pia nenda UK utaona.
 
Ingekuwa personal acts, kungekuwa na mashtaka pengine na hukumu za hao personnel, for their individual actions R.I.P. Akwilina.

Tukubali tukatae, ni tatizo la mfumo wa maagizo na maelekezo toka juu. Ndiyo hakuna mtawala aweza wajibisha polisi, against brutality in Africa!

Everyday is Saturday............................... 😎

Nikukumbushe, Kamanda Zombe kesi yake imekamilika juzijuzi tu na waliohusika na mauaji yale mmoja/wawili wao wamekula first degree murder case, wengine miaka ya kutosha. Mifano iko mingi lakini kwa kuwa mdharau kwao huwa mtumwa basi everyday becomes Saturday........... Not cool:
 
Kesi moja, katika kila matukio zaidi ya 100,000! Napo naamini Zombe kuna kitu aliwakosea mabosi wake, atakuwa aliwanyima mgao. Ndiyo maana wakamkaanga!

Ukweli mchungu, police brutality ni suala la kimfumo, psychologically wananchi wameathirika wanaelewa hakuna wa kuwasaidia. Mfumo upo kuwasaidia wana usalama!' Za kubrashia'!

Angalia huyo Raisi wa 'Tasmania' kila 'alipotembea' na 'akasimamishwa' malalamiko karibia yote ya wananchi wake ni juu ya unyanyasaji na uminywaji haki ukianzia polisi.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.

Eti ndugu zangu watanzania;

Does Africa has its own (unique) definition of democracy?

Je, Afrika ina tafsiri yake binafsi (ya kipekee) ya neno demokrasia?

View attachment 1516346

Nimeamua kuuliza hivi kwa maana kwamba, nimepokea ujumbe huu kutokwa kwa mtoto wa ndugu yangu analiyezaliwa na kuishi huko huko Ulaya (Uholanzi) na hajawaji kukanyaga huku Tanzania (Africa). Huyu dogo ana miaka 15, kama angekuwa huku Tanzania let's say labda angekuwa form II?

Just imagine wewe ndio Infantry Soldier, ungewezaje kumjibu huyu mtoto wa ndugu yako?

PUMZIKA KWA AMANI MZEE MKAPA. VITA UMEIPIGANA NA MWENDO UMEUMALIZA BABA YETU. MUNGU AKUPE PEPO ILIYO NJEMA MZALENDO MWENZANGU.

View attachment 1516337

OUR MOTTO: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.

Definition tofauti ya demokrasia anayo Magufuli na CCM. Kwao demokrasia maana yake wizi na kutumia vyombo vya dola kuulinda huo wizi.
 
Ukweli mchungu, police brutality ni suala la kimfumo, psychologically wananchi wameathirika wanaelewa hakuna wa kuwasaidia. Mfumo upo kuwasaidia wana usalama!' Za kubrashia'!

Everyday is Saturday............................... 😎

So umebadili mwenyewe tena kuwa police brutality ni suala la mfumo??
Dah, kweli mkataa kwao mtumwa

Veryday becomes Saturday........ Not cool;
 
So umebadili mwenyewe tena kuwa police brutality ni suala la mfumo??
Dah, kweli mkataa kwao mtumwa

Veryday becomes Saturday........ Not cool;
Police brutality siyo individual acts ni system acts, usinibadilishie maana.

Nieleweke hivyo, system acts ndiyo zinazopelekea hayo matukio yanayoonekana kama individual acts.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Police brutality siyo individual acts ni system acts, usinibadilishie maana.

Nieleweke hivyo, system acts ndiyo zinazopelekea hayo matukio yanayoonekana kama individual acts.

Everyday is Saturday............................... 😎

Police brutality siyo individual acts ni system acts, usinibadilishie maana.

Nieleweke hivyo, system acts ndiyo zinazopelekea hayo matukio yanayoonekana kama individual acts.

Everyday is Saturday............................... 😎

Ok ok sio wewe kumbe uliyesema ni “individual acts...” lakini ulivouchangia mjadala ilikuwa as if unamuunga mkono Bana likasi, kuwa police brutality ni individual act
 
Police brutality siyo individual acts ni system acts, usinibadilishie maana.

Nieleweke hivyo, system acts ndiyo zinazopelekea hayo matukio yanayoonekana kama individual acts.

Everyday is Saturday............................... 😎
Ni sytem acts kwa dunia nzima au Marekani pekee?
 
Back
Top Bottom