Dogo aliyekuwa anatembea na mke wa jirani yangu sasa ana mazoea na mwanamke wangu

Ulimkuta bikra?if no basi jua unatombewa tu
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo dogo wa form tatu anakushinda mwanangu

Mimi nilipiga dogo wa baba mwenye nyumba Kalikuwa na pigo mwenye akajaa Juu nikamwambia mwanao Yupo polisi nawewe ukilete zengwe UNAENDA polisi full stop
 
wote mpo mtoni kwahiyo kilichompata mamba na boko kitakukuta... Ni suala la muda tu.!
 
Funga Camera kimia kimia ndani unganisha na simu. Dogo akitimba ndani popote ulipo unapiga simu kuonya.
Kuondokana na adha hiyo hama eneo hilo kunusuru ndoa yako. Pole sana mkuu
Ushauri mzuri huu japo wanaweza kuendelea kuwasiliana.Lkn pia jamaa angemuita dogo amchimbe mkwara mzito.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Usingefumbia macho siku ileile uliyomkuta kwako ungemchana live mbele ya mkeo tena ukiwa serious kabisa
 
Funga Camera kimia kimia ndani unganisha na simu. Dogo akitimba ndani popote ulipo unapiga simu kuonya.
Kuondokana na adha hiyo hama eneo hilo kunusuru ndoa yako. Pole sana mkuu
Mkuu hiyo kamera inapatikana wapi ,

Na yeye hata iona ?, naihitaji sana hiyo,
Nielekeze pa kuipata
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkeo hajafundwa, chumba na sebule unakaribishaje mgeni wa kiume ndani hali mumeo hayupo?

Yani Baba K wangu angerusha mitama na notisi tungepewa....chumba na sebule wageni wa kiume unawatolea kiti nje.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Leejay49 baby nikikuta una mazoea na madogo wa hivi patakua hampatoshi

Chocolate yako hii hapa
 
Mkuu ukitaka dogo akome Ina bidi nawewe uanze mazoea nae

Kwamfano una weza kumshika tako afu ukasema dogo naona ukovizuri eehh huku ukimkonyeza kwamacho

Afu unamwambia nasubiri tu uje unase mtego wangu aiseeh utani kubari Kisha pita
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mtu anaeomba ushauri kwenye mambo sensitive hivi ni lazima aendelee kutom bewa,
huyo dogo ngeu, ngumi kali sana ya pua nampiga ngumi puani maumivu hadi miguuni ha ha,
hata kwenye hali ya kawaida mafahali wawili hamuwezi mkachekeana mbele ya mwali yani ningemkarakasha tu ningembonya tu mbele ya wife,
ulisikia wapi punda dume wawili na jike mmoja kwenye zizi moja hapo lazima zichapwe kujihakikishia burudani
utapigwa bila kupenda ndani ya zizi utatolewa ngeu ili tu watu wapate burudani kwa utulivu wewe ukiwa unachechemea over.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…