Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kabisa huo mchezoSasa kuna ile unakuta labda wamekwama, ila nimekoma kabisa
Hakuna wa kukuforce juu ya pesa yako...usilalamike..,huna mwambie sina au kausha kama mtu mzima ataelewa na kutafuta njia mbadalaSio poa aloo😂😂😂 Mimi ndo niwe mtoa mafao wake
YeahStop giving while expecting something in return. Period.
Nitumie njia ipi ikiwa ananambia nitumie namna yeyote ile nimtumie? alafu Mimi kilichonikera hapo ni kusema kwamba za kaka yake zina matumiziHakuna wa kukuforce juu ya pesa yako...usilalamike..,huna mwambie sina au kausha kama mtu mzima ataelewa na kutafuta njia mbadala
Kausha tu usijibu sms yoyoteNitumie njia ipi ikiwa ananambia nitumie namna yeyote ile nimtumie? alafu Mimi kilichonikera hapo ni kusema kwamba za kaka yake zina matumizi
Hahahahah ynaona umeamua kununua ugomvi..😂
Ina maana mpaka unauliza kwenye hii comment Bado hujapata jibu toka Kwa wadau jukwaani?!!!Nitumie njia ipi ikiwa ananambia nitumie namna yeyote ile nimtumie? alafu Mimi kilichonikera hapo ni kusema kwamba za kaka yake zina matumizi
Aisee.Ipo hivi, kuna mdogo wangu mtoto wa mama mkubwa kaolewa Arusha, sasa akikwama mambo ya hapa na pale huwa namsaidia maana tumezoeana sana kwahiyo haonagi shida kunishirikisha akikwama.
Sasa kilichonikera ni kwamba alinipigia simu akaomba nimsave kiasi fulani hivi, nikamwambia kwasasa nipo mbaya sina kitu.
Nikamuuliza kwani hujamuomba kaka j akusaidie? Maana huyu ndo kaka yake wa damu, aisee alichojibu sasa, akasema kwamba si unajua tena kaka j anafamilia yake anaihudumia, mtoto mke wake. kwahiyo siwezi kumuomba ntamharibia mipango yake.
Aisee nikawaza kwahiyo Mimi ambaye sina mke ndo fala ni za kuchota tu na bado namuwaza vibaya mno. Halafu mbaya zaidi ananiforce kwamba nitumie mbinu zote nimtumie hiyo hela ana shida ya muhimu sana.
Daaaaah simmalizi kabisa kenge yule
Na wewe muombe atakupaMkuu Bora hata asingesema hivyo atumie maneno mengine tu. sasa mi ndo sina majukum au?