Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta kishangingi cha af tatu piga mkuu.Ipo hivi, kuna mdogo wangu mtoto wa mama mkubwa kaolewa Arusha, sasa akikwama mambo ya hapa na pale huwa namsaidia maana tumezoeana sana kwahiyo haonagi shida kunishirikisha akikwama.
Sasa kilichonikera ni kwamba alinipigia simu akaomba nimsave kiasi fulani hivi, nikamwambia kwasasa nipo mbaya sina kitu.
Nikamuuliza kwani hujamuomba kaka j akusaidie? Maana huyu ndo kaka yake wa damu, aisee alichojibu sasa, akasema kwamba si unajua tena kaka j anafamilia yake anaihudumia, mtoto mke wake. kwahiyo siwezi kumuomba ntamharibia mipango yake.
Aisee nikawaza kwahiyo Mimi ambaye sina mke ndo fala ni za kuchota tu na bado namuwaza vibaya mno. Halafu mbaya zaidi ananiforce kwamba nitumie mbinu zote nimtumie hiyo hela ana shida ya muhimu sana.
Daaaaah simmalizi kabisa kenge yule
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwambie una Pisi Mpya (KAUSHA DAMU).. inakudai wigi jipya na aifoni
😂Lady jay dee - Wanaume kama mabinti.
This is not right, hata huyu jamaa hana familia ila anamsaidia kwa sababu ya upendo na anamajukumu pia, huyu binti kakoseaMbona hoja yake ya msingi
Kaka J ana mambo mengi ya kifamilia
Na labda amekwambia wazi sababu ya kushindwa kumuomba kaka yake kwasababu umesema mmezoeana sana
Shida ni wewe ulivyoipokea
sasa kaka huyo mdada s umesema kaolewa na manake anae wa kumtatulia shda zake kwa hali na mali.Ipo hivi, kuna mdogo wangu mtoto wa mama mkubwa kaolewa Arusha, sasa akikwama mambo ya hapa na pale huwa namsaidia maana tumezoeana sana kwahiyo haonagi shida kunishirikisha akikwama.
Sasa kilichonikera ni kwamba alinipigia simu akaomba nimsave kiasi fulani hivi, nikamwambia kwasasa nipo mbaya sina kitu.
Nikamuuliza kwani hujamuomba kaka j akusaidie? Maana huyu ndo kaka yake wa damu, aisee alichojibu sasa, akasema kwamba si unajua tena kaka j anafamilia yake anaihudumia, mtoto mke wake. kwahiyo siwezi kumuomba ntamharibia mipango yake.
Aisee nikawaza kwahiyo Mimi ambaye sina mke ndo fala ni za kuchota tu na bado namuwaza vibaya mno. Halafu mbaya zaidi ananiforce kwamba nitumie mbinu zote nimtumie hiyo hela ana shida ya muhimu sana.
Daaaaah simmalizi kabisa kenge yule
Punguza ku overthink mambo mkuu , siku ukiwa na familia ataacha kukuomba 😄😄😄Ipo hivi, kuna mdogo wangu mtoto wa mama mkubwa kaolewa Arusha, sasa akikwama mambo ya hapa na pale huwa namsaidia maana tumezoeana sana kwahiyo haonagi shida kunishirikisha akikwama.
Sasa kilichonikera ni kwamba alinipigia simu akaomba nimsave kiasi fulani hivi, nikamwambia kwasasa nipo mbaya sina kitu.
Nikamuuliza kwani hujamuomba kaka j akusaidie? Maana huyu ndo kaka yake wa damu, aisee alichojibu sasa, akasema kwamba si unajua tena kaka j anafamilia yake anaihudumia, mtoto mke wake. kwahiyo siwezi kumuomba ntamharibia mipango yake.
Aisee nikawaza kwahiyo Mimi ambaye sina mke ndo fala ni za kuchota tu na bado namuwaza vibaya mno. Halafu mbaya zaidi ananiforce kwamba nitumie mbinu zote nimtumie hiyo hela ana shida ya muhimu sana.
Daaaaah simmalizi kabisa kenge yule
Huna koromeo mambo yako familia unayamwaga hadharani ukioa si utatoa siri za mkeo kuwa ana tako moja dogo moja kubwa wacheni upuuzi!Ipo hivi, kuna mdogo wangu mtoto wa mama mkubwa kaolewa Arusha, sasa akikwama mambo ya hapa na pale huwa namsaidia maana tumezoeana sana kwahiyo haonagi shida kunishirikisha akikwama.
Sasa kilichonikera ni kwamba alinipigia simu akaomba nimsave kiasi fulani hivi, nikamwambia kwasasa nipo mbaya sina kitu.
Nikamuuliza kwani hujamuomba kaka j akusaidie? Maana huyu ndo kaka yake wa damu, aisee alichojibu sasa, akasema kwamba si unajua tena kaka j anafamilia yake anaihudumia, mtoto mke wake. kwahiyo siwezi kumuomba ntamharibia mipango yake.
Aisee nikawaza kwahiyo Mimi ambaye sina mke ndo fala ni za kuchota tu na bado namuwaza vibaya mno. Halafu mbaya zaidi ananiforce kwamba nitumie mbinu zote nimtumie hiyo hela ana shida ya muhimu sana.
Daaaaah simmalizi kabisa kenge yule
Hujakua kiakili wewe, kulikuwa na haja gani ya kuandika huo utoto hapa? Ficha ujinga wakoIpo hivi, kuna mdogo wangu mtoto wa mama mkubwa kaolewa Arusha, sasa akikwama mambo ya hapa na pale huwa namsaidia maana tumezoeana sana kwahiyo haonagi shida kunishirikisha akikwama.
Sasa kilichonikera ni kwamba alinipigia simu akaomba nimsave kiasi fulani hivi, nikamwambia kwasasa nipo mbaya sina kitu.
Nikamuuliza kwani hujamuomba kaka j akusaidie? Maana huyu ndo kaka yake wa damu, aisee alichojibu sasa, akasema kwamba si unajua tena kaka j anafamilia yake anaihudumia, mtoto mke wake. kwahiyo siwezi kumuomba ntamharibia mipango yake.
Aisee nikawaza kwahiyo Mimi ambaye sina mke ndo fala ni za kuchota tu na bado namuwaza vibaya mno. Halafu mbaya zaidi ananiforce kwamba nitumie mbinu zote nimtumie hiyo hela ana shida ya muhimu sana.
Daaaaah simmalizi kabisa kenge yule
Ukioa unapata heshima kubwa, Saa hizi wanawaza pesa unazopata unavutia pombe na kunywea bangi. Anyway undugu ni nyama ya takoAisee nikawaza kwahiyo Mimi ambaye sina mke ndo fala ni za kuchota tu na bado namuwaza vibaya mno. Halafu mbaya zaidi ananiforce kwamba nitumie mbinu zote nimtumie hiyo hela ana shida ya muhimu sana.
SIONI kama kuna shida katika hili.....shida inakuja kwenye rekodi yake ya kulipaUkioa unapata heshima kubwa, Saa hizi wanawaza pesa unazopata unavutia pombe na kunywea bangi. Anyway undugu ni nyama ya tako
Aoe Aache ujingaSIONI kama kuna shida katika hili.....shida inakuja kwenye rekodi yake ya kulipa
Mimi nashangaa mwanamke mwenye mume kuombaomba hela wanaume wengine (hata kama ni kaka zake) imekaaje.Mume wake ndiye mwenye jukumu la kumsaidia.
Kwa nini unajipa umuhimu kwenye majukumu yasiyokuhusu?