Dogo amenikera mpaka nahisi kumchukia mazima

Hakuna wa kukuforce juu ya pesa yako...usilalamike..,huna mwambie sina au kausha kama mtu mzima ataelewa na kutafuta njia mbadala
Nitumie njia ipi ikiwa ananambia nitumie namna yeyote ile nimtumie? alafu Mimi kilichonikera hapo ni kusema kwamba za kaka yake zina matumizi
 
Huyo sio mdogo wako, ni dada yako maana kazaliwa na mama yako mkubwa, so yeye anakuchukulia kama dogo ndio maana anaona kawaida. We umekasirika kwa sababu ulijiona mkubwa, kubali uhalisia kwanza wewe ni dodgo lake.
 
Nitumie njia ipi ikiwa ananambia nitumie namna yeyote ile nimtumie? alafu Mimi kilichonikera hapo ni kusema kwamba za kaka yake zina matumizi
Ina maana mpaka unauliza kwenye hii comment Bado hujapata jibu toka Kwa wadau jukwaani?!!!

Inaonekana una maajabu sana.
 
Shukuru ata umepewa ukweli mkuu na akili imesanuka sasa
 
Ina maana mpaka unauliza kwenye hii comment Bado hujapata jibu toka Kwa wadau jukwaani?!!!

Inaonekana una maajabu sana.
Kayaandike kwenye jiwe hayo maajabu
 
Someone once said: " the more you understand the less you forgive"

One you understand the motives of the people, you discover a lot about them
 
Aisee.
 
Mkuu kama unaona unateseka omba hata no za wadau kama sisi tutume hiyo pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…