Dogo amenikera mpaka nahisi kumchukia mazima

Yani huyo ni kama rafikiyangu ananikeraga sana Yani hata umkopeshe pesa siku ya kumkumbusha akulipe utasikia afadhali wewe hauna watoto hauna madeni sijui nn ananikera nae kenge yule πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Wakati mwenzie Huwa najikaza tu napambana anaona km ninazo
 
Acha apambane na mume wake si kaolewa na ww Pambana uweke misingi ya family unayo taka kuanzisha.
 
Kuna watu wanaona wenzao wana pesa za kuwapa tuu kwa sababu wao hawana matumizi nazo
 
Watu Kama mtoa mada ni wagumu Sana kuishi nao
Mambo simple tu wamepandwa na jazba Kama JPM
Hisia zako ungezieleza kwa mdogo wako ili ajue amekukwaza vipi na kumpa ushauri akuchukulie vipi kwenye situation Kama hii then maisha yaendelee
Yaani na hili dogo livunje undugu wenu, upendano wenu? Kushikamana kwenu? Kusaidiana kwenu?
Na je matukio ya wanandugu Kama ya kuibiana pesa, kuibiana mke, kufichuliana Siri mzito, kutukanana, kudhalilishana, kugombania mirathi utaipokeaje?

Hizi roho nyeusi mnazitoaga wapi, wakati Mungu kaumba roho nyeupe tupu?
 
Kuna connection Fulani Kati ya watu wawili ambayo Ni yakipekee Kila familia iyo ipo tu, mwenzako amekuamini na anaithamini hiyo bond yenu
 
bro hii nikawaida sana sema wewe una akili ndogo sana na unaroho mbaya sana maana ulichoambiwa hicho ni kawaida sana na kama kweli umemuchukia kwa hicho ukija oa utakuja gombna na ndugu zako wote maana wanawake kama mme anakili kam zako hizo atakugombanisha nawandugui wote
 
Hapo ndo kunatokeaga sintofahamu watu undugu au urafiki unakufa bila sababu,

Kwa vipimo vyako unaona kakosea na kwa vipimo vyake anaona yuko sawa ila wewe umemind na humwambii ( kinyongo), embu kunjua moyo kama mmezoeana kama ulivyosema ongea nae straight forward kama hujapendezwa basi yaishe kuilete humu nako haisaidii wakati muhusika hamjayamaliza.
 
Mtu ukiwa umefulia unakua na mahasira ya kijinga tu.
Hicho ndicho nikionacho kwa mleta mada...
 
Unatafuta sababu tu za kumkataa, huna haja ya kuanzia mbali au kuzunguka sana, we mkatae tu yaishe.
Hata wewe ukijakuwa na familia hatakuomba msaada pia coz utakuwa na majukumu muhimu, mbona kakujibu poa sana?
 
Mtu ukiwa umefulia unakua na mahasira ya kijinga tu.
Hicho ndicho nikionacho kwa mleta mada...
Kufulia hakuhusiani na kudharau changu mkuu, mbona mara nyingi sana nimemsaidia wala sikuwahi kuwaza, iweje aseme za kaka yake zina matumizi? Mimi hata kama sina mke ila hela zina matumiz
 
Unatafuta sababu tu za kumkataa, huna haja ya kuanzia mbali au kuzunguka sana, we mkatae tu yaishe.
Hata wewe ukijakuwa na familia hatakuomba msaada pia coz utakuwa na majukumu muhimu, mbona kakujibu poa sana?
Mnarahisisha kwa sababu sio nyie, ila hata wewe ukiambiwa hio kauli lazima umind, hela ngumu mazee
 
Komentini chap chap kabla hawajaja mabinti wanao omba hela wakaja kuchafua gazeti kuwa mwamba ameshindwa kujiongeza
 
Acha hasira...kama mama yako au baba yako yupo badala ya kumpa pesa yeye wape wazazi wako.nna uhakika moyo wako utajawa na amani
 
Dah pole sana mkuu, aisee inakera mbaya kabisa kwamba mm sina mke kwahiyo sina majukum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…