We fuatilia mahojiano alivyofanya kwenye lavi davi ya diva tena kawekwa kwenye bango kabisa mtoto wa kiume anatamba kabisa eti nina lips nzuri maaamaaeeee kashaharibiwa na yule muuza sura mwenzake Hemed chande wanaleta uzuri wakati wenzao kina Othman na Isarito wanavuka boda kwenye tamthilia Afrika mashariki