Dogo Edu wa Tamthilia ya Pazia ndiye muigizaji Bora kijana atakayekuja kushika Bongomovie

Dogo Edu wa Tamthilia ya Pazia ndiye muigizaji Bora kijana atakayekuja kushika Bongomovie

Sijawahi msikia, kama ameshaanza kufikiri Kwa mtindo huo basi abadili mwelekeo. Vinginevyo hatafika popote.
We fuatilia mahojiano alivyofanya kwenye lavi davi ya diva tena kawekwa kwenye bango kabisa mtoto wa kiume anatamba kabisa eti nina lips nzuri maaamaaeeee kashaharibiwa na yule muuza sura mwenzake Hemed chande wanaleta uzuri wakati wenzao kina Othman na Isarito wanavuka boda kwenye tamthilia Afrika mashariki
 
Nafikiri akifuata misingi ya Kazi yake na kuacha Tabia za kizamani atafika mbali
 
Kuna hawa wanetu BONGOHOODZ japo muvi zao nyingi zipo You tube na Wana movie zao zimebase sana kwenye black market na street hustler lakini wanakitu wakiwezeshwa japo mapungufu yapo kadhaa lakini naenjoy sana uhalisia wao Big up to novatus mugurusi director wa mzazilishaji wa hizo filamu jamaa wapo full African dramatical movie na uhalisia wakimtaa zaidi
 
Back
Top Bottom