Dogo Janja abwagwa rasmi,Jamii iwe karibu naye asije akafa

Dogo naye alikuwa anajitafutia shida. HIVI UNAWEZA KWENDA HAPO FERI UKAKUTA MATATIZO YANAELEA BAHARINI YAMELETWA NA MAWIMBI KUTOKA KUSIKOJULIKANA NA HAYANA UELEKEO UKAZOA NA KUPELEKA NYUMBANI UKASEMA UMEPATA?
[emoji16] [emoji16]
 
Aliparamia dude la ajabu Sana huyu mtoto mumuombee anaweza kufa
 
Ni mzuri na tako analo lakini baya mkuu maswala ya kula na kutokula hayanihusu mi ni mwanamke kama yeye siwezi kulizungumzia hilo

Njoeni huku bush muone vitu og huyo demu hanifati hata nyuma
Weka picha tudhaminishe
 
Lile tango walilokua wanamsifia uwoya kakuta ni kakibamia aiseeeee

Ila ile haikua ndoa bali kiki tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…