Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Huyu mvulana alijichanganya tu kwa lile dude na tako lake baya
Wewe ungekuwa mwanaume afu Uwoya akupe ungekataa?
Lile toto zuri ni dhambi likupe afu usipite nalo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mvulana alijichanganya tu kwa lile dude na tako lake baya
[emoji16] [emoji16]Dogo naye alikuwa anajitafutia shida. HIVI UNAWEZA KWENDA HAPO FERI UKAKUTA MATATIZO YANAELEA BAHARINI YAMELETWA NA MAWIMBI KUTOKA KUSIKOJULIKANA NA HAYANA UELEKEO UKAZOA NA KUPELEKA NYUMBANI UKASEMA UMEPATA?
I see. Madee kaongea ukweli mtupu bila kutafuna maneno. Dunia msongamano, huyu analia kaachwa kuna jamaa anafurahia kukubaliwa na mtoto mkali.[emoji15] [emoji15] [emoji15] View attachment 870540
Ni mzuri na tako analo lakini baya mkuu maswala ya kula na kutokula hayanihusu mi ni mwanamke kama yeye siwezi kulizungumzia hiloWewe ungekuwa mwanaume afu Uwoya akupe ungekataa?
Lile toto zuri ni dhambi likupe afu usipite nalo.
Ndo mumsaidie sasa hata kumpelekea uji wodinilakini amelikuna hilo linama
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mungu anakuona ujue..
Apambane na huba lakeSi tulimuonya , akashupaza shingo akatia ubishi. Ona sasa.. tulijua ni suala la muda tu
Umeniita vizuri[emoji106]Una akili sana wewe mama,kale katoto kajinga sana!
Weka picha tudhaminisheNi mzuri na tako analo lakini baya mkuu maswala ya kula na kutokula hayanihusu mi ni mwanamke kama yeye siwezi kulizungumzia hilo
Njoeni huku bush muone vitu og huyo demu hanifati hata nyuma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JamaniHuyu mvulana alijichanganya tu kwa lile dude na tako lake baya
akapime maana hilo dude linavyoolewa na kuachika kila siku halafu mara dubai mara wapi aangaklie sanaWe umeona stress za mapenzi tu ndo zitamuua Janjaro? Ngoma je?
Aseeee[emoji15] [emoji15]We umeona stress za mapenzi tu ndo zitamuua Janjaro? Ngoma je?
Lile sio dude! Lile ni lidubwasha!Huyu mvulana alijichanganya tu kwa lile dude na tako lake baya
NgomaMi hata sijaelewa kitu nimetoka empty,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ok,basi kama ni hivyo Mungu ni mkubwa!