Dogo Janja abwagwa rasmi,Jamii iwe karibu naye asije akafa

Dogo Janja abwagwa rasmi,Jamii iwe karibu naye asije akafa

Ila kafaidimo humu ndani wengi mnatamani mngepata kuonja radha ya uwoya na mmekosa kwahiyo mnaishia kurusha maneno mengi kwa dogo hata mm natamani lile tako angenipa hata usiku mmoja tuuu
Dogo alibugi kuoa,ila kupiga hapo wengi tamaa zipo juu,lkn kwenye kumuoa inabidi moyo wa chuma
 
Teh teh teh
Wanawake huwa tunajuwa jinsi ya kumhandle mwaname definatel who has money.
When he undergo bankcrup we usually escape/isolate and creat Reason/ Sababu ili asinisumbuwe.

Pole Janjaro ndio Maisha yalivyo, Uwoya atamove to mtu mwingine avute mkwanja.

Pls Wadau naomba hili liwe somo kwa Wengine.
NO MONEY NO LOVE/SEX
Wacha urongo labda kwa machangudoa..... wengine wake zetu walitupenda kabla hatujawa na mikwanja....na mpaka leo bado tupo nao........bado kuna wanawake wenye tabia njema.....nzuri na upendo....na michangupaka pia ipo.....kama ww
 
Back
Top Bottom