flulanga
JF-Expert Member
- Jul 1, 2016
- 4,860
- 6,390
MKONO WANYANI?Dah Dogo atakufa kweli na vile alikuwa amezoea kulelewa na like jimama afu limemuachia na mkono Wa nyan kama lilivyofanya kwa yule mrwanda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MKONO WANYANI?Dah Dogo atakufa kweli na vile alikuwa amezoea kulelewa na like jimama afu limemuachia na mkono Wa nyan kama lilivyofanya kwa yule mrwanda
Au tuseme Aliyebuni wazo la mitandao ya kijamii Mungu ambariki au amlaani?😂Tangu lini ndoa za mitandaoni zikadumu?
Ni hawa wadudu wenyewe ndio shida..Au tuseme Aliyebuni wazo la mitandao ya kijamii Mungu ambariki au amlaani?[emoji23]
Sista mpaka huku kwa watoto upo?[emoji23]Irene afadhali ufuate ile plan yako ya kufungua kanisa
Irene Uwoya kufungua kanisa lake - JamiiForums
Duuh...unaponda hatareeeAna umbo baya tu kiufupi miguu fito tumbo kiuno zero amebakiza sura na rangi nayo inasaidiwa na mekiap bila hivyo hashtui
Wanamaanisha ukimwi,ngwengwe,ngoma,umeme mkuu
Ogopa kuoa mwanamke anayeshinda instagram na Watsapp tena bora wa "Fesibuku" kule kwa Waporipori kuna ahueni (kunakinaisha)......Ni hawa wadudu wenyewe ndio shida..
KabissSijawahi amini kama hii ilikuwa ni ndoa.
PoleDuuh...unaponda hatareee
Mwanamke bora anapatikana JF (sio wote lakini) [emoji23]Ogopa kuoa mwanamke anayeshinda instagram na Watsapp tena bora wa "Fesibuku" kule kwa Waporipori kuna ahueni (kunakinaisha)......
Dogo alibugi kuoa,ila kupiga hapo wengi tamaa zipo juu,lkn kwenye kumuoa inabidi moyo wa chumaIla kafaidimo humu ndani wengi mnatamani mngepata kuonja radha ya uwoya na mmekosa kwahiyo mnaishia kurusha maneno mengi kwa dogo hata mm natamani lile tako angenipa hata usiku mmoja tuuu
Pole
😂😂😂😂😂😂 hakika mkuuMwanamke bora anapatikana JF (sio wote lakini) [emoji23]
Wacha urongo labda kwa machangudoa..... wengine wake zetu walitupenda kabla hatujawa na mikwanja....na mpaka leo bado tupo nao........bado kuna wanawake wenye tabia njema.....nzuri na upendo....na michangupaka pia ipo.....kama wwTeh teh teh
Wanawake huwa tunajuwa jinsi ya kumhandle mwaname definatel who has money.
When he undergo bankcrup we usually escape/isolate and creat Reason/ Sababu ili asinisumbuwe.
Pole Janjaro ndio Maisha yalivyo, Uwoya atamove to mtu mwingine avute mkwanja.
Pls Wadau naomba hili liwe somo kwa Wengine.
NO MONEY NO LOVE/SEX
Hata mimi piaSijawahi amini kama hii ilikuwa ni ndoa.
Dah pole sana wewe ni kabila ganMi hata sijaelewa kitu nimetoka empty,
Ndo hivyo alubatAisee acha[emoji15][emoji15]