Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
kupenda sio hiyari mkuu tumeumbiwaKwa sasa mwanaume anayependa hakika atapata wakati mgumu, wanawake sio watu wa kuwapenda ila ishi nae tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kupenda sio hiyari mkuu tumeumbiwaKwa sasa mwanaume anayependa hakika atapata wakati mgumu, wanawake sio watu wa kuwapenda ila ishi nae tu.
kupenda sio hiyari mkuu tumeumbiwa
Pole mkuuHapo ni mapokezi, unakuwa unajisomea kijarida ukiwa katika foleni wakati mwenzio anahudumiwa ofisini. Ni sawa na AMREF walivyokuwa wanatuwekea mikanda ya video ya Rutaaya wakati tuko foleni ya kupima au kusubiri majibu ya HIV
Atafanya nini na kapendaAliweka moyo, ini na figo kwenye penzi lile.
Unipe hongera kwa ujasiri, sio polePole mkuu
Hongera mkuuUnipe hongera kwa ujasiri, sio pole
Si walisemwa wana vibamia dogo akajiona mjanja!Kumbe hakujua wanawake hawajawahi kuridhika hata iweje!Hakujifunza kwa wanaume wengine?
Kabisa kwa kweli tena Ile imempa Kiki, anaweza kutembea na zigo lolote lileBora na yeye ameonjamo keki ya Taifa
Haya mambo sijui ya ushauri nasaha mara psychologist tuwaachie wenyewe wazungu,sisi wabongo hatuyawezi haya mamboUshauri wa wataalamu huwa unaishia hapo hapo ofisini kwake....ukitoka nje unaanza kukumbuka yote na maumivu yanaanza upyaa!!!
Hata wazungu wenyewe hawayawezi.....kuna kesi kibao za kujitoa uhai kuhusiana na depressionHaya mambo sijui ya ushauri nasaha mara psychologist tuwaachie wenyewe wazungu,sisi wabongo hatuyawezi haya mambo
Hivi huyu D Janja naye aliamini kuwa yule mwanamke kamuoa!
Kwani haujasikiliza wimbo wake ule kwamba kasema 'Ananipaga mpaka mambo ya uwani'Hivi dogo Janja hajamla tigo Airini hadi Leo?[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]