Dogo Janja awajibu wanaomsema yeye na Irene Uwoya awaambia "Sunna ya Mtume"

Dogo Janja awajibu wanaomsema yeye na Irene Uwoya awaambia "Sunna ya Mtume"

BONGO MOVIE NOMA SANA YAAANI UJANA WAO WANACHEZEA NA MADINGI WENYE HELA UZEENI WANASPEND NA VISERENGETI BOYS BAD LUCK ENOUGH HATA WALICHOCHUMA UJANANI HAKIONEKANI USEME LABDA HELA ZIMEWAVUTIA HAWA WATOTOO !!!
 
DOGO JANJA Akifunguka Ukweli Kuhusu Ndoa Yake Yeye Na IRENE UWOYA

KEYSHA:- Nilidhani ni Bongo Movie

 
Mwanaume haruhusiwi kuoa mwanamke wasipishane zaidi miaka mingapi mwanamke kumzidi mwanaume.
 
Wazee wa sunna....

Dogo janja - uwoya
Diamond - Zari
Uchebe- Shilole
Mose Iyobo - Aunt Ezekiel
Brown - wolper
Nani sijui - Riyama

List ni ndefu, watoto wadogo wamevumbua mgodi
mimi-wewe hahahahhaha sunah
 
Wazee wa sunna....

Dogo janja - uwoya
Diamond - Zari
Uchebe- Shilole
Mose Iyobo - Aunt Ezekiel
Brown - wolper
Nani sijui - Riyama

List ni ndefu, watoto wadogo wamevumbua mgodi
ze dudu na Evelyn Salt list bado inaendelea
 
wamama wanajua kuleaa...hlf usikute anapokuwa na dogo janja irene anakuwa kama mtoto tu....yaani mwanamke ata awe mkubwa vipi bado akili zitakuwa ni za kushikiwa.

Dogo janja anathibitisha ule msemo unaosema,Mwanaume ni kiongozi wa Mwananke...hii kauli uzuri wake haijasema ni mwanaume wa umri gani ndo kiongozi...so by virtue if being mwanaume you r a leader kwa mwanamke.

Akili ya mwanamme mmoja ni sawa na akili za wanawake wanne.
naunga mkono hoja
 
Sheria ya leaving certificate ingekua na kwa wanaume dogo janja asingefunga ndo mpk anaingia kaburini
 
Upendo ni kitu chengine jamaani unachokiona kwako hakifai kwa wenzako ni lulu/dhahabu mm nampa tano dogo janja tukae tukijua mapenzi hayana rika
 
HIVI KWELI IRENE NI MCHAGA! HUYU ATAKUWA DADA MCHAGA AMBAYE SIJUI YUPOJE NI KAMA MBUGA YA KITALII.KUNA WACHAGA WAWILI WA AJABU MMOJA NI MURO NA WA PILI NI IRENE.KRISMAS MWAKA HUU WABAKI DAR WATAFUTE BABU ZAO WACHAGA HAWAPO HIVYO HATUWATAKI MOSHI
 
hapo hamna ndoa note maneno yangu uje unukumbushe baada ya miezi 18
 
Back
Top Bottom