Dogo Janja awajibu wanaomsema yeye na Irene Uwoya awaambia "Sunna ya Mtume"

Dogo Janja awajibu wanaomsema yeye na Irene Uwoya awaambia "Sunna ya Mtume"

Wazee wa sunna....

Dogo janja - uwoya
Diamond - Zari
Uchebe- Shilole
Mose Iyobo - Aunt Ezekiel
Brown - wolper
Nani sijui - Riyama

List ni ndefu, watoto wadogo wamevumbua mgodi
Zari na diamnd wametofautiana miaka kumi hamsemi?
 
HIVI KWELI IRENE NI MCHAGA! HUYU ATAKUWA DADA MCHAGA AMBAYE SIJUI YUPOJE NI KAMA MBUGA YA KITALII.KUNA WACHAGA WAWILI WA AJABU MMOJA NI MURO NA WA PILI NI IRENE.KRISMAS MWAKA HUU WABAKI DAR WATAFUTE BABU ZAO WACHAGA HAWAPO HIVYO HATUWATAKI MOSHI
Mkuu kwani wachaga wakoje...mbona wako wengi tuu Corner Bar na Buguruni,hivi Wolper ni kabila gani pia
 
Mi sionagi sababu ya kufuatiliana,kama mtu kaamua kujimilikisha jimama,nyie watu wa pembeni inawahusu nini,au nini kinawakereketa,atleast ndugu wanaweza kuwa na haki ya kukosoa lakini sio watu baki.
Tabia ya umbea na ufukunyuku ni tabia ya kifoo sana,nashukuru mungu kwa kunijaalia kutokuwa na time ya kufuatilia ama kukereketwa na maisha/maamuzi ya watu,kila mtu afanye yake.
 
Mkuu kwani wachaga wakoje...mbona wako wengi tuu Corner Bar na Buguruni,hivi Wolper ni kabila gani pia
wale wa corner bar ni wajasiliamali na wanafanya mambo yao wazi huyu sasa si anajifanya siyo malaya
 
Mtume muhamadi ana sunnah nyingi saana lakn watu wengi awazifanyi lakn ikfkia kwenye kuongeza mke au kuoa mwanamke menye umri mkubwa ndo wao utumia kama sababu!
 
Mbona unamdharau binadamu mwenzako namna hii

Man, nimesema tuna taste tofauti, mimi nimemzidi Dogo Janja kiumri, at that age mi nilikuwa naishi Dar (my home town). Ukiongelea kuhusu mademu Dar es salaam ni Paradise, pale nili-enjoy watoto wazuri wa kutoka pembe zote za Dunia. Kwa sisi tuliotokea pale kwa umri wa Dogo Janja huwezi kuoa lumbesa
 
Me nashangaa watu wanaponda lakini katika miongozo yote ya kidini hakuna andiko linalozungumzia umri kikubwa kinacho zungumzwa ni ndoa na kuanza zinaaaa
 
Me nashangaa watu wanaponda lakini katika miongozo yote ya kidini hakuna andiko linalozungumzia umri kikubwa kinacho zungumzwa ni ndoa na kuanza zinaaaa

Labda una point, lakini sio wote tunaongozwa maandiko ya dini zenu. Nyinyi wafuasi wa dini za kigeni mnaboa sana, mnafikiri watu wote tuko kama nyinyi tu?
 
Labda una point, lakini sio wote tunaongozwa maandiko ya dini zenu. Nyinyi wafuasi wa dini za kigeni mnaboa sana, mnafikiri watu wote tuko kama nyinyi tu?
Kila kitu ni kigeni kwenye hii dunia ukiachilia mbali hizi dini za kigeni tambua pia ss ni wageni w hii dunia
 
Kila kitu ni kigeni kwenye hii dunia ukiachilia mbali hizi dini za kigeni tambua pia ss ni wageni w hii dunia

Now shut up. Usilete siasa za kiarabu, kwangu too late bro.
 
Lakini pia alioa binti wa miaka 6 akaanza kumtafuna akiwa na miaka 9[emoji85] [emoji134]
Nope sio kweli alianza kumuingilia baada ya kumature!halafu mbona km unadhihaki...!kila mtu na imani yake no need to mock on each other.
 
Sunna kwa wenye kuamini.....YAANI sunna umeona KUOA MTU MZIMA....mbona ya swala za usiku hufanyi,,,au kuwatembelea WAGONJWA hospitalini....ngoja hilo JINI lianze kukunyonya damu ndy utapapojuwa tofauti ya MWANAMKE na MKE
 
Wazee wa sunna....

Dogo janja - uwoya
Diamond - Zari
Uchebe- Shilole
Mose Iyobo - Aunt Ezekiel
Brown - wolper
Nani sijui - Riyama

List ni ndefu, watoto wadogo wamevumbua mgodi
heshimu dini za watu acha kumlinganisha Dogo janja na uwoya na hao wazinifu
kwanza dogo ana dhifa kubwa mbele ya ALLAH kitendo tu cha kimbadili dini uwoya ana malipo makubwa sana hapa DUNIANI na AKHERA
kinachotakiwa sasa amuongoze mke wake vema kufikia viwango vua juu vya imani
MWENYEZIMUNGU awafanyie HERI kwa kuicha batili kuifata Haki
 
Mh UOTE="adolay, post: 24290231, member: 62960"]Ungeona kawaida maana mtazamo ugelingana kwamba anafanya SUNNA[/QUOTE]
Mh hivi unadhani nikirahisi kihivyo??

We kubemendewa mtoto sio ishu ndogo mkuu.......suna miaka hiyo mwanamke anajua thamani ya mume.wanawake hawa wa kizazi cha nyoka wanaolilia usawa.....thubutu
 
Back
Top Bottom