nyanimzungu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2017
- 1,204
- 934
Serikali iko wapi mtoto mdogo namna hii anaoa jimama.istoshe kwa umri alio nao sio wa kuoa couse akili yake haijakomaa kuweza kukabiliana na changamoto za ndoa japokua akili ya kumake pesa anayo.istoshe ujana bado hajautumia vizuri