mwalimu lyapongoka
Senior Member
- Dec 28, 2016
- 173
- 207
Mmmm honeymoonDOGO JANJA Awajibu Wanaomsema Yeye Na IRENE UWOYA Awaambia
"SUNNA YA MTUME"
mimi-wewe hahahahhaha sunahWazee wa sunna....
Dogo janja - uwoya
Diamond - Zari
Uchebe- Shilole
Mose Iyobo - Aunt Ezekiel
Brown - wolper
Nani sijui - Riyama
List ni ndefu, watoto wadogo wamevumbua mgodi
ze dudu na Evelyn Salt list bado inaendeleaWazee wa sunna....
Dogo janja - uwoya
Diamond - Zari
Uchebe- Shilole
Mose Iyobo - Aunt Ezekiel
Brown - wolper
Nani sijui - Riyama
List ni ndefu, watoto wadogo wamevumbua mgodi
naunga mkono hojawamama wanajua kuleaa...hlf usikute anapokuwa na dogo janja irene anakuwa kama mtoto tu....yaani mwanamke ata awe mkubwa vipi bado akili zitakuwa ni za kushikiwa.
Dogo janja anathibitisha ule msemo unaosema,Mwanaume ni kiongozi wa Mwananke...hii kauli uzuri wake haijasema ni mwanaume wa umri gani ndo kiongozi...so by virtue if being mwanaume you r a leader kwa mwanamke.
Akili ya mwanamme mmoja ni sawa na akili za wanawake wanne.
Rekebisha mandishi yako au umetumwa niniMtume ametuharibia vijana
Mkuu amejitetea kupitia dini yao, mbona hata mtume wao alifanya hivyo.Mtoto mdogo anaoa lijimama alaf tunasema sawa.
We jamaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...Mtume ametuharibia vijana
Hahahaha....unatafuta uchokoziMtume ametuharibia vijana
HahaaDOGO JANJA Awajibu Wanaomsema Yeye Na IRENE UWOYA Awaambia
"SUNNA YA MTUME"