Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
Zari na diamnd wametofautiana miaka kumi hamsemi?Wazee wa sunna....
Dogo janja - uwoya
Diamond - Zari
Uchebe- Shilole
Mose Iyobo - Aunt Ezekiel
Brown - wolper
Nani sijui - Riyama
List ni ndefu, watoto wadogo wamevumbua mgodi
Mbona unamdharau binadamu mwenzako namna hiiUmri sio tatizo, sema wanaume tuna taste tofauti sana. Mi Irine Uyowa sio kuoa, hata one night stand sinunui.
Mkuu kwani wachaga wakoje...mbona wako wengi tuu Corner Bar na Buguruni,hivi Wolper ni kabila gani piaHIVI KWELI IRENE NI MCHAGA! HUYU ATAKUWA DADA MCHAGA AMBAYE SIJUI YUPOJE NI KAMA MBUGA YA KITALII.KUNA WACHAGA WAWILI WA AJABU MMOJA NI MURO NA WA PILI NI IRENE.KRISMAS MWAKA HUU WABAKI DAR WATAFUTE BABU ZAO WACHAGA HAWAPO HIVYO HATUWATAKI MOSHI
Harmonize - wolperWazee wa sunna....
Dogo janja - uwoya
Diamond - Zari
Uchebe- Shilole
Mose Iyobo - Aunt Ezekiel
Brown - wolper
Nani sijui - Riyama
List ni ndefu, watoto wadogo wamevumbua mgodi
wale wa corner bar ni wajasiliamali na wanafanya mambo yao wazi huyu sasa si anajifanya siyo malayaMkuu kwani wachaga wakoje...mbona wako wengi tuu Corner Bar na Buguruni,hivi Wolper ni kabila gani pia
Lakini pia alioa binti wa miaka 6 akaanza kumtafuna akiwa na miaka 9[emoji85] [emoji134]Mtume (s.a.w)alimuoa bi khadija(R.A) kwa tofauti ya miaka15 ni sunnah ila mkioana na wala sio kuzini
Kina mama nao si wanataka mazoezi ya vijana?Mtoto mdogo anaoa lijimama alaf tunasema sawa.
Mh naimagn angekua ni mtoto wangu......cjui ningekua katika hali gani.
Mbona unamdharau binadamu mwenzako namna hii
Me nashangaa watu wanaponda lakini katika miongozo yote ya kidini hakuna andiko linalozungumzia umri kikubwa kinacho zungumzwa ni ndoa na kuanza zinaaaa
Kila kitu ni kigeni kwenye hii dunia ukiachilia mbali hizi dini za kigeni tambua pia ss ni wageni w hii duniaLabda una point, lakini sio wote tunaongozwa maandiko ya dini zenu. Nyinyi wafuasi wa dini za kigeni mnaboa sana, mnafikiri watu wote tuko kama nyinyi tu?
Kila kitu ni kigeni kwenye hii dunia ukiachilia mbali hizi dini za kigeni tambua pia ss ni wageni w hii dunia
Nope sio kweli alianza kumuingilia baada ya kumature!halafu mbona km unadhihaki...!kila mtu na imani yake no need to mock on each other.Lakini pia alioa binti wa miaka 6 akaanza kumtafuna akiwa na miaka 9[emoji85] [emoji134]
Upo vizuri kumbe hadi hukuMtume (s.a.w)alimuoa bi khadija(R.A) kwa tofauti ya miaka15 ni sunnah ila mkioana na wala sio kuzini
heshimu dini za watu acha kumlinganisha Dogo janja na uwoya na hao wazinifuWazee wa sunna....
Dogo janja - uwoya
Diamond - Zari
Uchebe- Shilole
Mose Iyobo - Aunt Ezekiel
Brown - wolper
Nani sijui - Riyama
List ni ndefu, watoto wadogo wamevumbua mgodi