nyanimzungu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2017
- 1,204
- 934
Hii nadhani haifanyiki kwa bahati Mbaya hayamkini ni Kuutekeleza mashariti ya nguvu zisizoonekana kwa macho ya kibinadamu.Wazee wa sunna....
Dogo janja - uwoya
Diamond - Zari
Uchebe- Shilole
Mose Iyobo - Aunt Ezekiel
Brown - wolper
Nani sijui - Riyama
List ni ndefu, watoto wadogo wamevumbua mgodi
mfia dini utajiju, niheshimu kwani nimekashifu dini hapo?heshimu dini za watu acha kumlinganisha Dogo janja na uwoya na hao wazinifu
kwanza dogo ana dhifa kubwa mbele ya ALLAH kitendo tu cha kimbadili dini uwoya ana malipo makubwa sana hapa DUNIANI na AKHERA
kinachotakiwa sasa amuongoze mke wake vema kufikia viwango vua juu vya imani
MWENYEZIMUNGU awafanyie HERI kwa kuicha batili kuifata Haki
mmmh wanajua wenyewe wapendanaoHii nadhani haifanyiki kwa bahati Mbaya hayamkini ni Kuutekeleza mashariti ya nguvu zisizoonekana kwa macho ya kibinadamu.
Hapana sio kwa tofauti hiyo ya umri, inashangaza sana. !!!!!!!!!!!!mmmh wanajua wenyewe wapendanao
Hapana sio kwa tofauti hiyo ya umri, inashangaza sana. !!!!!!!!!!!!
Kama akili zao wamekopa kwa hawa viumbe wako sahihi.
Umeonaa wasitie kwato zao mo town kabsa tutawatindua Hana adabu kabsaHIVI KWELI IRENE NI MCHAGA! HUYU ATAKUWA DADA MCHAGA AMBAYE SIJUI YUPOJE NI KAMA MBUGA YA KITALII.KUNA WACHAGA WAWILI WA AJABU MMOJA NI MURO NA WA PILI NI IRENE.KRISMAS MWAKA HUU WABAKI DAR WATAFUTE BABU ZAO WACHAGA HAWAPO HIVYO HATUWATAKI MOSHI
Muddy?Acha upuuzi we fala naomba umuheshimu MTUME MUHAMMAD sawa
86 ni jimama!!!! Na 70, 60 smtng ni bibi au!!!!Mtoto mdogo anaoa lijimama alaf tunasema sawa.
Ila kama wangekuwa wanaziniana kusingekuwa na maneno,Umri ni namba tu kikubwa mandhari dini yake inamruhusu ni sawa hakuna tatizoMtoto mdogo anaoa lijimama alaf tunasema sawa.
Mwenye haki hao ni Dogo janja tu,Wengine ni wanaziniana tu hawana ndoa haoWazee wa sunna....
Dogo janja - uwoya
Diamond - Zari
Uchebe- Shilole
Mose Iyobo - Aunt Ezekiel
Brown - wolper
Nani sijui - Riyama
List ni ndefu, watoto wadogo wamevumbua mgodi