Dogo Young Lunya ni nani?

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Ni rapper mkali kwenye game. Ana jina kubwa. Anatoa kazi nzuri sana na ana mashabiki wengi sana hasa vijana wa miaka ya 2000s. But details zake hazijulikani.

Haijulikani majina yake halisi anaitwa nani. Ni Mwenyeji wa wapi? Anatokea hood gani? Elimu yake umri wake na kadhalika.

Wenye kumfahamu huyu dogo watiririke hapa
 
Nilianza kumfahamu kwenye kundi la producer Cjamoker
Dogo kapiga hatua sana kiuimbaji na hata tabia pia yupo vizuri
 
Mbona jina kubwa kuliko hata kazi zake,hivi ana hit hata moja kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…