Dokezo:Yanayoendelea Ufaransa kuenea dunia nzima. Hapa Tanzania itakuwa zaidi ya Oktoba 29 ya 2025.

ok.
 
Duuh, inasemekana wapi
 
πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ
 
Watu wanamawazo ya kwenye tamthilia.
Hata atawale Mungu shida zipo pale pale, nchi ni kama klabu ya yanga kuna mashabiki, wachezaji, benchi la ufundi na uongozi. Mashabiki ni wale wale miaka yote ila wachezaji, viongozi benchi la ufundi hubadirika kila baada ya miaka kadhaa.

Yeyote atakaye tawala nchi hii ugumu wa maisha upo pale pale jinsi wanachama wanavyoyos michsngo yanga sabna serikali inatutegemea sisi wananchi tutoe kodi ndio ijenge bara bara na kutoa ajira .kuna watu mnaamini akija raisi mwingine hamtalipa kodi wala polisi hawatakuwepo πŸ˜„ hiyo nchi ipo mbinguni sio hapa duniani
 
Akili hiyo peleka wajinga wenzio
 
What France wanted in Iran, God has exported it to them on a silver plate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…