Ailars David
Senior Member
- Jul 6, 2017
- 128
- 36
Anasoma BVM mkuuWakuu naomba kuuliza
Dokta wa mifugo anachukua
BVM (BSc in veterinary medicine) Au BSc in animal science????!!! [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Zé unique named bwoy
BvmWakuu naomba kuuliza
Dokta wa mifugo anachukua
BVM (BSc in veterinary medicine) Au BSc in animal science????!!! [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Zé unique named bwoy
Nimeahirisha kabisaaa! Open wapi jamanibvm sua, mtaanza 900 na kumaliza 19! kwa bongo hii coz inaongoza kula vichwa.
Tofauti ipo mkuu, BvM ana deal na matibabu zaidi ya mnyama wakati Animal scientist ana deal zaid na afya na lishe ya mnyama!
bvm sua, mtaanza 900 na kumaliza 19! kwa bongo hii coz inaongoza kula vichwa.
Duuu sio kwa mtima nyongooo huo wa ma prof kweli bongo bahati mbayabvm sua, mtaanza 900 na kumaliza 19! kwa bongo hii coz inaongoza kula vichwa.
Umesoma Sua???Wandugu hii data si ya kweli, ikiwa hivyo hiki chuo kingefungwa. Ni kweli BVM ina msuli kutokana na volume kubwa ya material na ufuatiliaji wa karibu wa curriculum hivyo inahitaji commitment kubwa kutoka kwa wanafunzi. Zaidi ya hapo wengi wanao ingia BVM humaliza tuseme zaidi ya 80% kwa miaka 5. Hivyo msikatishwe tamaa.
Hapana sijasoma SUA.Umesoma Sua???
Umejuaje kuwa wanaoingia zaidi ya 80%humaliza???Hapana sijasoma SUA.
Nafuatilia kwa ukaribu hii kitu.Umejuaje kuwa wanaoingia zaidi ya 80%humaliza???
Ok.... mwaka Jana wame graduate wanafunzi wangapi bvm na first year yao walianza wangapi??Nafuatilia kwa ukaribu hii kitu.
BVM anatibu wanyama, huyu mwingine kisheria haruhusiwi kutibu wanyama!