Dokta wa simu [maswali+ ushauri]

Dokta wa simu [maswali+ ushauri]

naomba nisaidie jina la hiyo app mkuu,
Mfano
Screenshot_2018-06-06-00-13-44.jpg
 
Mkuu nina tumia I phone tatizo picha zote nili futa wakati na frash simu je naweza kuzipata hizo picha siku ziweka kwenye I cloud???
Ndio unazipata bila tabu mkuu...
 
Mr.Number ukisha install utaifungua na utaanza kuona option nyingi we tafuta block then weka namba ya mtu wako tia ok ... Ukiweza nifahamishe ikishindikana niambie nikutumie video
asante.
Mkuu Mbulu njoo kuna solution huku
 
Mkuu nina tumia I phone tatizo picha zote nili futa wakati na frash simu je naweza kuzipata hizo picha siku ziweka kwenye I cloud???
Picha zinarudi bila tabu ila kuna hatua za kufuata mkuu
 
Mie nahitaji app ya kudownload pesa mtaalamu, ni app gani itakayokidhi mahitaji yangu hapo juu!?
 
Nikiwa nimebobea kwenye masuala ya simu hususani software ,nakaribisha maswali kuhusu simu hasa za smartphone karibuni......
Na Mimi nimebobe but kuna simu kiboko ...imenishinda kuiroot na still ni ya mwaka 2016 ni Vodafone smart 7. Had TWRP inagoma...niongezee ujuz kaka
 
Haiwaki, ila inatoa kamlio ka vibration mithili ya pale unapochomeka simu kwa mara ya kwanza kwenye chaji
Simu nzima hiyo nitumie picha ya chaji unayotumia
 
Na Mimi nimebobe but kuna simu kiboko ...imenishinda kuiroot na still ni ya mwaka 2016 ni Vodafone smart 7. Had TWRP inagoma...niongezee ujuz kaka
Unaroot kupitia pc au mkononi na je unatumia app gani?
 
TECNO C6 Nimeizima usiku ,nimekuja kuwasha asubuhi haiwaki kabisa, hata nikiweka kwenye charge haidisplay kitu
Nzima iyo wakati unazima ilikuwa na % ngapi?!
 
Mr.Number ukisha install utaifungua na utaanza kuona option nyingi we tafuta block then weka namba ya mtu wako tia ok ... Ukiweza nifahamishe ikishindikana niambie nikutumie video
Hii mtu akikupigia inaita kidogo anaambiwa busy??hakuna ambayo ni bora zaidi..
 
Back
Top Bottom