Mwinyi_ole_mushi
JF-Expert Member
- Oct 29, 2015
- 1,635
- 4,411
HUAWEINi simu gani mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HUAWEINi simu gani mkuu
Haiwaki, ila inatoa kamlio ka vibration mithili ya pale unapochomeka simu kwa mara ya kwanza kwenye chajiUkichomeka haiwaki hata taa ya chaji
Na Mimi nimebobe but kuna simu kiboko ...imenishinda kuiroot na still ni ya mwaka 2016 ni Vodafone smart 7. Had TWRP inagoma...niongezee ujuz kakaNikiwa nimebobea kwenye masuala ya simu hususani software ,nakaribisha maswali kuhusu simu hasa za smartphone karibuni......
TECNO C6 Nimeizima usiku ,nimekuja kuwasha asubuhi haiwaki kabisa, hata nikiweka kwenye charge haidisplay kituNikiwa nimebobea kwenye masuala ya simu hususani software ,nakaribisha maswali kuhusu simu hasa za smartphone karibuni......
Hii mtu akikupigia inaita kidogo anaambiwa busy??hakuna ambayo ni bora zaidi..Mr.Number ukisha install utaifungua na utaanza kuona option nyingi we tafuta block then weka namba ya mtu wako tia ok ... Ukiweza nifahamishe ikishindikana niambie nikutumie video
Ilikua na charge Kama 40 hiviNzima iyo wakati unazima ilikuwa na % ngapi?!
Kawaida tu au kwa fundi ?Hiyo ni nzima ila inatakiwa kuamshiwa kwenye pc