gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Dhahabu zilikusanywa Ili ziuzwe na si kuwekwa mapamboSisi tumeshapata mbadala wa dola kwa kuuza dhahabu ili tupate dola
CCM wanapenda sana vijitu viazi kama nyie. Imagine, kama wewe ndio wanakutegemea kuwatetea.Waziri wa Marekani Mark Rubio ameonya dola ya marekani kupoteza nguvu baada ya nchi nyingi kutafuta mbadala wa dola
Kuna taarifa kadhaa za nchi husika kufanya biashara kwa sarafu zao badala ya dola ya Marekani
Rubio anaendelea kuonya,baada ya miaka mitano marekani itashindwa kusimamia vikwazo iwekavyo kwa mataifa mbalimbali
EU juzi walikua na majadiliano na china, waziri mkuu UK alienda china, waziri mkuu Canada alienda china, mataifa yote haya yakiamua kufanya biashara na china kutumia sarafu zao,dola chali
Umenadi ujinga wako tu hapa,ungejiridhisha kwanza ukweli wa story toka vyanzo unavyoviamini kisha ukaleta ujuaji wakoCCM wanapenda sana vijitu viazi kama nyie. Imagine, kama wewe ndio wanakutegemea kuwatetea.
Sasa ona hii stori yako...
Yawezeimkana stori ni ya kweli, ila sasa source unaitoa kwa matapeli wa CRYPTO.