2020 ilitabiriwa maandamano Tz, kumbe ni ndoto.Dream on bro
Njia ni Traore style.Angalieni Tusije kuishia kama Libya 🥲
Njia ni Traore style.
Nadhani umeiona Nuru. Nuru hiyo itaangaza Africa nzima.
Tanzania hakujawahi kuweko na uchaguzi wa kweli, 1995 - 20015 walikua wanaogopa sana kuiba lakini walikua wanaiba kura. Kuanzia 2020 ikawa wazi kabisa wakajua kumbe hakuna madhara. Ikawa ndiyo precedentSalaam!
Ilitabiriwa tangu 2020 kwamba uchaguzi wa mwisho secular ni ule wa Lowassa vs Magu.
Baada y hapo, kuanzia 2021 Hadi 2030 ni mkono wa chuma tu na kukimbizana.
Move background ni kuanzisha Dola ya Kushi. Kushi Empire, hii yaja na mabadiliko ya viongozi Afrika nzima.
Kiongozi wa mpango huo ni yule yule Nyikani, ndiye aliyesaidia nchi nyingi Afrika kujikomboa.
Traore style ndiyo njia itumikayo kuiunganisha Tena Afrika irudi kuwa Dola Imara.
Ni kweli kuna watu wataumia, ila big picture ni kuwa, hii njia italeta manufaa makubwa kiuchumi kwa Afrika Ili kutimiza ndoto za waasisi kina Kambarage. Pia itatimiza unabii wa Africa kuwa na nguvu kiuchumi kuilisha Dunia, kuwa kimbilio la mataifa, kupeleka injili Dunia nzima Ili kuandaa ujio wa YESU Kristo kulichukua kanisa lake.
Usishangae yanayotikea Nyikani, gamba linavuliwa kwa maumivu makali.
Mungu ibariki Nyikani.
Aaamin.
Tangu uhuru,Tanzania hakujawahi kuweko na uchaguzi wa kweli, 1995 - 20015 walikua wanaogopa sana kuiba lakini walikua wanaiba kura. Kuanzia 2020 ikawa wazi kabisa wakajua kumbe hakuna madhara. Ikawa ndiyo precedent
Mimi SI Askofu.Sawasawa, baba askofu tuvushe, tunaimani na wewe na Mungu yupo na sisi haki itamalaki
Kwani Libya kuna nini? Mbona Pako sawa tuAngalieni Tusije kuishia kama Libya 🥲
Maaandamano na dolanyankushi ni different magnitudes2020 ilitabiriwa maandamano Tz, kumbe ni ndoto.
Uliamini yangetokea kwa Hawa waliodharaulika?