Dola milioni 300, siku 90, sentano kipande haijalipwa! acacia inakula hasara, has no capacity to pay! Tumedanganywa?

Kw
Kwa hiyo Kwa taarifa hii ya Pasco ndio unaamini hatutalipwa?
Kweli naamini maneno ya Trump
Kwa hiyo wewe unaamini katika Falsafa ya kusubiria embe kudondoka kutoka mti wa Mnazi?,My foot!. Tatizo Rais wenu hajui kuweka akiba ya manenooo!. Sasa leo atuonyeshe Kishika uchumba,atuletee na Noah zetu, Hatutaki blahblah.
 
Wewe ndio umelogwa
Umeanza Vp kuuza starlet yako kwa kutegemea Noah ya kupewa
Utaolewa
Fanya kazi
 
Safi sana hapa umeongea bila kumung'unya umetoa makavu live ukiendelea hivi ntakukubali 95%
SIZONJE akipitia hii lazma atakunja uso [emoji37] [emoji31] [emoji37] [emoji37]
Umeongea kikubwa sio ile kupindapinda
Makanikia ni hoja iliyobuma. Ndizo hoja za awamu hii zinasindikizwa na risasi.
 
Ni njia gani hizo ambazo tungepaswa kuchukuwa ambazo msingecheka na kukebehi kama zisingetoa matokeo positive? Nitajie moja tu ambayo ingefanikiwa na msingecheka!
Kwanza kabisa mikataba yote ya madini ipelekwe bungeni kama alivyoahidi kwenye kupokea ripoti ya makinikia ya kwanza, na pia zile milioni 50 kwa kila kijiji zitolewe maana ni ahadi ya kwenye kampeni!
 
Kwanza kabisa mikataba yote ya madini ipelekwe bungeni kama alivyoahidi kwenye kupokea ripoti ya makinikia ya kwanza, na pia zile milioni 50 kwa kila kijiji zitolewe maana ni ahadi ya kwenye kampeni!


Hilo la Mikataba siwezi kuliongelea kwa maana sina uelewa, lkn la ahadi za kwenye kampeni njuavyo waliahidi kutimiza 2015-20 na leo hii ni 2018 hivyo muda wa kuhukumu kwa hilo bado, subiri ikfika 2020 na hawajatimiza hapo ni sawa kuhukumu!
 
Mimi ningejibu kwamba bora muache kuchimba hayo madini. Mungu ameiumba hii ardhi na akaweka madini ya tofauti ili ardhi iwe imara. Sasa wakichimba kila corner na kutoa hayo madini panabaki nini? Hatimayake ikina tetemeko kidogo tu basi eneo hilo kwisha habari yake.
 
Kwani serikali ikilipwa ina haja kuja kuutangazia ulimwengu kua tumelipwa,je kama serikali imelipwa ikaamua kukaa kimya?
Acha tubaki na makinikia yetu,sijawahi sikia dhahabu imeoza hata siku moja
 
Ukitumia gold mining data, za Acacia na duniani kwa ujumla, utapata conclusion kwamba, sio tu Acacia bali hata hao Barrick Gold Mine hawana uwezo wa kulipa zile pesa... I repeat, HAWANA UBAVU. Data zetu zipo so irrelevant!

Look, according to USA Gold, total gold produced duniani in 2016 ni tani 3100.

Tani 3100 ni sawa na 3,100,000 kg

Kwa mujibu wa mtandao wa GoldPrice, bei ya dhahabu at 14:15 EAT ilikuwa 1,333.01 per ounce. Anyway, sijui pametokea nini manake pamekuwa na sharp decline in price from around US$ 1342 to 1,333.01 lakini wametoa best price as $1356 per ounce (for gold bar).

1 oz ni takribani 28.5 grams.
3,100,000 kg = 3,100,000,000 grams = 109 M ounce (maximum)

Thamani yake ni 109,000,000 x $1356 = $ 148 Billion (maximum)

Hii maana yake ni kwamba, dhahabu iliyozalishwa duniani kote mwaka 2016 ina thamani ya takribani $150 Billion wakati pesa tunayodai sisi ni $190 Billion!

Yaani, Acacia/Barrick kulipa ile pesa ina maana waachiwe dhahabu YOOOOOOTE duniani kwa mwaka mzima. Aidha, wazalishe dhahabu hiyo at ZERO cost ndipo wanaweza kulipa deni (assuming uzalishaji na bei vinabaki constant)!!!

Look again, hoja ni kwamba ni tunaabiwa kupita kiasi.

Ina maana na Australia wanaibiwa kupita kiasi?

Mwaka 2016 Australia walizalisha 270 tani za dhahabu! Remember, Australia ni among top gold producers duniani!!!!

Tani 270 = 270,000 kg = 270,000,000 grams = 9.5M ounce (Maximum)

Thamani yake kama ingeuzwa leo, ingekuwa 9,500,000 x $1356 = $13 Billion (maximum).

Hii maana yake ni kwamba, endapo Australia wataamua kuwalipia deni Acacia, basi watalazimika kutumia dhahabu yao yooooooooote kwa takribani miaka 15 (190 billion/13 Billion) ndipo wanaweza kumaliza deni lote la Acacia na hapo tuki-assume, Australia wanazalisha dhahabu hiyo at ZERO cost na kila mwaka wanazalisha tani 270.

Kwahiyo kwa data zisizo-make sense kama hizo TUSAHAU eti kwamba Acacia au hata Barrick watakuja kulipa hata 25% ya kile wanachodaiwa! Na hili nilisema tangu awali.

Na ukweli ni kwamba, sioni uwezekano wa kulipa hata 10% ya kile wanachodaiwa!

BONUS: According to Bloomberg, New York Stock Exchange walifunga soko tarehe 12.01.2018 wakati Barrick Gold wakiwa kwenye position ifuatayo:


Unaona hapo chini, Market Cap ni 17.64 Billion. Na tunaposema Barrick ina maana na hesabu za Acacia zipo ndani yake bila kusahau hesabu za kampuni zao zingine zote.

So, with Market Cap ya 17.64, ina maana endapo shareholders WOOOOOOOTE wa Barrick Gold wangeamua kutoa shares zao zoooooooooote free of charge kwa Barrick kisha Barrick wakauza shares zooooooote na kuamua kutumia mapato ya uuzaji wa hizo share, bado wangeweza kulipa ONLY $17.64 Billion wakati tunawadai $190 Billion na huku pia tunaiacha Barrick Gold mikono mitupu!!!

Hii maana yake ni kwamba, deni husika HALILIPIKI kwa sababu takwimu zilizotolewa ni za UONGO... simple and clear!!
 
Pascal Mayalla Hapa porojo tupu Na hasira za mkizi zilizokuwa zinamwongoza MKULU, mm nilikuwa moja ya migodi hiyo, kila mwezi wanazalisha ziada, Na wanaongeza target, alikuwa anatoa bonus lkn sasa hatoi! Huyu jamaa ni mshenzi Na alipaswa kufukuzwa km mbwa koko ili ajifunze!

Saivi kashabinafsisha kitengo cha ulinzi kwa migodi Yake kwa kupewa ushindi Na CMA Kanda ya Shinyanga! Alafu unasema utaweza kupambana nae? Its naked zero (negative)
 
Usijitoe ufahamu kwa sababu za mahaba,critics wapo kila sehemu na ndio humfungua mtu macho pale anapokuwa amekosea njia. Kuchekelea na kupongeza kwa unafiki hata kama jahazi linaenda mrama si sahihi hata kidogo.
 
Prof. Paramagamba Kabudi yuko wapi ajibu hili? Aje ajikumbushe maelezo yake haya Ref# video hii



Ajue kuongea na kutenda vitu viwili tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…