Jambo ambalo sijawahi kulielewa maisha yangu yote kuhusu jamii yetu ni hili, ni kwa nini huwa mnafurahia sisi kushindwa? I mean, ukiangalia jamii yetu ni kama watu wamekaa wanasubiri ushindwe wakucheke na kukukebehi, kwangu mimi sisi Watanzania ni watu childish sana, so immature, maisha hayako hivyo, watu wengi waliofanikiwa Duniani ni kwa kujaribu, kuchukuwa risks ndiyo unaweza kwenda mbele!
Bill Gates aliacha Chuo Harvard na kuanzisha Microsoft kama Wazungu wangekuwa childish na immature kama sisi kukaa kusubiri ushindwe ili wakucheke asingepata support, lkn wazazi wake na nchi nzima iko nyuma yake na kama microsoft ingeshindwa angerudi Chuoni na hakuna ambaye angemcheka au kumkebehi!
Sasa Raisi Magufuli amejaribu kama ameshindwa hatupaswi kumcheka wala kumkebehi bali tunapaswa kujipanga na kuanza upya, bila kubadilisha hii tabia hakuna tutakapoenda, kwa kifupi mnawarithisha hata Watoto wenu negativity na watashindwa pia maishani na ku-compete na Dunia kwani mnawajaza woga na misemo kama sijui tulikwambia acheni huo ujinga vinginevyo tutaendelea kubakia masikini maisha yote !
Una hoja, lkn unapoweka maneno ya kutukana eg usenge etc tunarudi kulekule, uandishi wa kuchekelea kushindwa, kutukana kama wewe ulivyotukana badala ya kueleza hoja yako nzuri sana. Let us try, let us take risk etc. tactical retreat.....
But our discretion to try must be done with scientific approach, not mechanically! Mfano, though not related to this topic, Tanesco building could have been saved by circumventing it with simple architectural engineering , but that opportunity was lost due to mechanical, stubborn and power arrogance.
Ndio maana watu wanaandika kama haya unayoyakemea ya uandishi wa kufurahia kushindwa.
Nisamehe kama nimekuudhi.
Sent from my HM NOTE 1LTEW using JamiiForums mobile app