Kama umepata majibu ya maswali yako naomba samariYale makontena bado tunayashikilia kwani?
Na wale watu wa Acacia kutoma Canada bado wanaendelea na mazungumzo au walisharudi kwao? Kimya kweli naona
Hamna hata alienijibu ndugu yanguu.Kama umepata majibu ya maswali yako naomba samari
Usichokielewa au unachokifumbia macho ni kuwa hizo data ulizotumia ni sehemu ya udanganyifu wa makampuni ya madini duniani! Hawajawahi kuweka wazi data halisi za uvunaji na faida ya dhahabu!!! Nikuulize kitu! Mtendaji wa barick alikuja DSM na ndege binafsi lakini miaka yote hapa nchini hawajawahi kulipa kodi itokanayo na faida zaidi ya tozo ndogo ndogo kama mirahaba! Miaka yote wanadai wanapata hasara, kwa nini hawafungashi virago? Mbona wanahisa wanapeana gawio kila mwaka? Mbona wanatembelea ndege binafsi ili kutetea mgodi unaozalisha hasara? Ukweli ni kwamba tunapigwa sana!!!
Na hilo ndiyo tatizo lenu lilipo, ni jambo gani ambalo angelifanya kwenu lisingekuwa hiyo unayoiita ,,cheap popularity"? Tumenunua ndege mmesema hivyo hivyo, tunajenga Reli mmesema hivyo hivyo, Ubungo flyover hivyo hivyo, hata sasa tunataka kujenga Bwawa la kuzalisha umeme 2000 MW stiegler pia mnasema ni cheap popularity, sasa ni kipi Raisi angefanya ambacho siyo cheap popularity?
Bora Trump aendelee kutupiga madongo, sio kwa vituko hiviHamna hata alienijibu ndugu yanguu.
Hata wale waliotajwa na ripoti ya makinikia ya kwanza na MKUU akasema watahojiwa akiwemo Chenge hadi leo bila bila!!! Au kuna aliyeona kina Chenge na wenzake waliotuhumiwa na ripoti ya makinikia wakishughulikiwa? Kama hatuwezi kuwashughulikia hawa itabidi kujitoa ufahamu kwa kiwango cha juu sana kuamini kuwa tutawashughulikia barrick gold mine na accasia ili walipe Noah zetu na kishika uchumba cha $300 milioni!!!achilia mbali issue ya akeshia je yule aliekuwa anatuibia sh mil2 kila baada ya dakika mbili yuko wapi? Mbona hatujapewa update hadi Leo?
Hata wale tulioambiwa hadharani kuwa watahojiwa kina joka LA makengeza bado bila bila! Hapo kuna cha kutegemea.achilia mbali issue ya akeshia je yule aliekuwa anatuibia sh mil2 kila baada ya dakika mbili yuko wapi? Mbona hatujapewa update hadi Leo?
Usichokielewa au unachokifumbia macho ni kuwa hizo data ulizotumia ni sehemu ya udanganyifu wa makampuni ya madini duniani! Hawajawahi kuweka wazi data halisi za uvunaji na faida ya dhahabu!!! Nikuulize kitu! Mtendaji wa barick alikuja DSM na ndege binafsi lakini miaka yote hapa nchini hawajawahi kulipa kodi itokanayo na faida zaidi ya tozo ndogo ndogo kama mirahaba! Miaka yote wanadai wanapata hasara, kwa nini hawafungashi virago? Mbona wanahisa wanapeana gawio kila mwaka? Mbona wanatembelea ndege binafsi ili kutetea mgodi unaozalisha hasara? Ukweli ni kwamba tunapigwa sana!!!
Hata kama hakuna hata dalili uendelee kusubiri! Utarudi hapa 2020 utueleze kuwa mvumilivu hula vilivyooza!!Wewe ndo utakuwa na shida nijuavyo mimi ahadi zilikuwa ni kwa kipindi 2015-2020 na si vinginevyo!
Hivi hata kwa kutumia akili ya kawaida, miaka miwili imeisha hata kijiji kimoja hakijapata hata nusu ya ahadi hiyo, kuendelea kusubiri kuzipata kwa siku isiyojulikana! Vinginevyo watuambie ratiba ya utekelezaji wake! Mbona hiyo ahadi haiongelewi kabisa na wanaoiongelea wanaonekana kama wachochezi fulani hivi!!!!
Tunazungumzia mikataba ya madini iliyoingiwa chini ya sheria ya madini iliyopitishwa bungeni kwa hati ya dharula as if tu akimbizana na dunia kabla haijafikia mwisho wake! Sijasema kuna mikataba ambayo haijawa ya siri!!!Ni mikataba ya kipindi kipi ambacho haijawa ya siri?!
Una access na account ya serikali na kujua kilichoingia na kutoka?! Instead of being conclusive why dont you ask? ♂️! Watanzania bana
Kama wanavojaribu wasiojulikana kupoteza kuficha wananchi kufungia kwenye viloba na kutupa mtoniBila ya kujaribu huwezi kwenda mbele, Angola wamerusha Satellite ikapotea hivyo jaribio lilishindwa, lkn haimaanishi kwamba wanapaswa kuchekwa na kukejeliwa kama mlivyo ninyi, huo ni mwanzo watajifunza kujipanga na mara ya pili au ya tatu hata nne satellite itaingia orbit na kufanikiwa!
Wakati ule walitishia kususia Tanzanite tukatepeta.Nakumbuka siku moja tukiwa ziarani na mkwere nchi fulani bwana mmoja aliuliza "hivi tukiamua kuachana na ununuzi wa madini ya Afrika mtayatumia kufanya nini?"
Swali hili linaungana na kauli yako kuhusu umuhimu wa elimu kwa watu wetu nchi hii inahitaji sana elimu.
Si madini tuuu tuna resources nyingi bado hazijatusaidia.
Pole zake bwana Ngosha anatakiwa apewe elimu shibishi ya the " corporate world"
Kile kipindi kilikua balaa asee.... Tanzanite ilionekana kama gololi tuuuWakati ule walitishia kususia Tanzanite tukatepeta.